Nini maana ya RPL ya TCU

Nini maana ya RPL ya TCU

MCHIWALAZ

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
46
Reaction score
16
Naombeni ufafanuzi kuhusu RPL ya TCU maana kiukweli ni kama nimeachwa patupu sielewo
 
Ndio nimeisikia itv nikaona niulizie kwani nimekosa sifa kwa six na Hata diploma yangu
 
Ninavyoelewa lengo la program ya RPL ni kuwasaidia wafanya kazi ambao wanataka kujiendeleza kimasomo na hatimaye kusoma na kupata shahada ya kwanza.

Kwa mfano unakuta mtu ameajiriwa kwa muda mrefu na sasa anatamani kuingia chuo ili aendelee na masomo na kupata shahada. Mara nyingi huyu mtu anakuwa ana experience ya kutosha na ukimwambia aanzie certificate au diploma kiuhalisia utakuwa unamwonea.

Kwa hivyo huyu mtu anapewa mtihani kumpima na akipasi basi anapewa nafasi ya kusoma chuo.

Hii inafanyika chini ya uangalizi wa TCU na wana centre za kufanyia hii mitihani kote nchini kwa kipindi maalum.

Samahani kwa kuandika shaghalabaghala.
 
Umeandika vizuri na ndivyo ilivyo
 
Kwahiyo inawezekana walimu wenye certificate au dip wenye GPA below 3.5 wakaingia kwenye huu mpango?
 
hapana....wenye GPA below 3:5 wako hawaruhusiwi kabisa kusoma degree milele na milele
 
Nafikiri mitihani ya RPL kwa mwaka 2016/2017 ilishafanyika na walishafanya mitihani kwenye center mbali mbali nchini. Wanaweza kuwa wanasubiri majibu ya kama wamepass au vipi.

Lakini pia kwa sababu ya marekebisho ya points za kuingia chuo inawezekana wakatoa msimamo tofauti.
 
Back
Top Bottom