Lord Lofa Hii katuni ni ya siku hizi. Hili neon kwa mara ya kwanza nililisikia kwenye nyimbo za dansi kutoka Kemny. ' Nilkutana na Mlofa mmoja' Hizi nyimbo a.k.a zilipendwa zilikuwa zinaimbwa miaka ya 70 kama zilipendwa. Hili neon lilikuwa linatumika sana Kenya na watu wa Zamzni wanalifahamu zaidi no wonder BM alilitumia. Mtu asiye na hali, hajielewi. Si neon zuri kwa kweli.