. Mkuu
mhalisi Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI maana ya neno lako ni katika Tafsiri
Nne kama ifuatavyo:
exclusive adj
1
(of persons)nayejitenga (kwa kujiona bora), -siyechanganyika na wengine, pweke.
2
(of a group/society)maalum (kwa watu fulani tu).
3
-a pekee Dictionary making is not his exclusiveemployment utungaji kamusi si kazi pekee anayoifanya.
4
exclusive of pasipo, bila kuhesabu, mbali na. exclusively adv.
Natumai imekusaidi
imenisaidia mkuu. ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri.