Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 780
- Thread starter
- #21
Najadiliana na baba au jf imewekwa kwa ajili ipi... usipende kutukana watu....nenda kamwambie baba yako huu upuuzi wako uone kama utalala hapo
Najadiliana na baba au jf imewekwa kwa ajili ipi... usipende kutukana watu....nenda kamwambie baba yako huu upuuzi wako uone kama utalala hapo
😂😂😂kamuulize faiza ally ila yule dada angezaa na mondi pangenoga sana
tusi liko wapi hapo ?Najadiliana na baba au jf imewekwa kwa ajili ipi... usipende kutukana watu....
kama unajua mama ndie mzazi sa swali lako la nnNajadiliana na baba au jf imewekwa kwa ajili ipi... usipende kutukana watu....
a,kama unajua mama ndie mzazi sa swali lako la nn
Baba wa kambo ni mlezi tofautisha kati ya mzazi na mlezi.Kijamii uko sawa maana hata baba wa kambo ni mzazi na Ana haki ya kuitwa baba,,, kibaiolijia huyu mama anaendelea tu kuwa surrogate mother na si vinginevyo
tusi liko wapi hapo ?
nenda kamwambie baba yako huu upuuzi wako uone kama utalala hapo
Thanks ndugu..Ni kweli mkuu,hata mimi jina langu la pili natumia jina la Mama na wala siyo la Baba!
Kuzaa sio tukio la kufyatua tu kiumbeNaomba kujua kati ya hili neno anayetakiwa kuitwaa.. (mzazi).. je ni baba mzazi au mama mzazi na kwa nini???
,kwa fikra zangu naona baba hawezi kuwa mzazi ila ni mama tu kwani baba hawezi kuzaa balo anapanda mbegu ambazo anayezizaa ni mama na si baba..
Kuzaa sio tukio la kufyatua tu kiumbe
Kuzaa ni process, kuanzia kupachika mbegu, mbegu kufanyika kuwa mtoto tumboni na kisha kufyatua kiumbe
Kwahiyo baba na mama wote ni wazazi
Uchungu wa mwanaume unaanzia baada ya mtoto kuzaliwa. MAHITAJI YA MTOTO.Kumbeee mm nilijua ni labour tuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa nn wanasemaga uchungu wa mwana,aujuaye mzazi..na anayesikia uchungu ni mwanamke akitaka kujifungua!!!!!
OkayUchungu wa mwanaume unaanzia baada ya mtoto kuzaliwa. MAHITAJI YA MTOTO.
😂😂😂😂😂nimecheeka ujue hadi wafanyakazi wenzangu wamenishangaa khaa hahahaHakuna mzazi hata mmoja
poa poa bossMbona,wenzako wanajadili ukipita, kimya bila kucomments kinashindikana,nn.. basi watu wangekuwa hawana majadiliano humu na kwinginee..
a,
Mzazi ni yule anaekandwa sehemu zake akizaa, nadhani mshamjua wa kukandwaNaomba kujua kati ya hili neno anayetakiwa kuitwaa.. (mzazi).. je ni baba mzazi au mama mzazi na kwa nini???
,kwa fikra zangu naona baba hawezi kuwa mzazi ila ni mama tu kwani baba hawezi kuzaa balo anapanda mbegu ambazo anayezizaa ni mama na si baba..