Nini maana ya Mume na yapi majukumu yake?

its real and moreover on my investigation i found there is contradiction even in our culture (africanism) it seems this minority right which stated in HR without clarification, now interrupt our African real definition of husband and wife.

Also in my findings the deferences of life levels between male and female those planning to be couple come across intentioned to create now definition.
Hebu andika vizuri maana sijaelewa hasa unataka kusema kitu gani hapa.
 
Mume kwanza awe na jinsi ya kiume.pili awe ameoa mtu mwenye jinsia ya kike.Tatu atunze familia yake kwa kipato na nguvu zake tatu akipata watoto awe baba yao.

Asimamie masuala yote yanayohusu familia yake kwa hali na mali.

Kusaidiwa majukumu kuna maana gani kwa tafsiri ya mume, kuna uzi nilio mtu anaitwa rais wa marioo's

kama kuna maana, ni sahihi mke kuhodhi mamlaka ya mume, au ndio mpinduzi ya kisasa.

Nakumbuka mababu zetu walioa huku nyuma wake zaidi ya mmoja na kuwatumikisha mashambani hawa nao ni old school marioos?

Kwa wakati huo umiliki wa mume ulikuwaje?
 
Responsible man ni yule anaestrive kwa nguvu zote ili apate pesa za kucare family yake.
Ndiye mwenye mamlaka na mtoa maamuzi ya mwisho kwenye family.
Na mke responsible anatakiwa amservie mumewe a naughty thing at bed, otherwise mme responsible ni yule ambaye ni mbunifu wa kuchepuka bila kuleta usumbufu nyumbani...
Sasa wewe mkuu unataka kurudisha ile thread ya mke std 7 au form 4 maana hapa shughuli yake kubwa itakuwa ni kutoa papuchi tu.
 
Mkuu sitaki kuwarudisha kule, lkn huo ndo ukweli... the rest remains as civilization, acculturation, usawa wa kijinsia and the like...
 
Kusaidiwa majukumu kuna maana gani kwa tafsiri ya mume, kuna uzi nilio mtu anaitwa rais wa marioo's

kama kuna maana, ni sahihi mke kuhodhi mamlaka ya mume, au ndio mpinduzi ya kisasa.

Nakumbuka mababu zetu walioa huku nyuma wake zaidi ya mmoja na kuwatumikisha mashambani hawa nao ni old school marioos?

Kwa wakati huo umiliki wa mume ulikuwaje?

Shamba liliokuwa analima bibi ni la babu.nyumba ya tembe walokuwa wanaishi ipo katika ardhi ya kizazi cha babu.kutokana na mahitahitaji kuwa nu chakula tu zaidi tofauti na sasa bibi alikuwa analima shamba la babu kama kutoa mchango wa kulea familia.

Mariooo wa kisasa . Nyumba /chumba ni mali ya mwanamke.gari mali ya mwanamke.chakula mavazi anapewa na mwanamke yaan yeye chake cha ndani ya boxer tu.
 
Hapo naanza kupata mwanga...
 
Habari

Nimekuwa natafiti sana kuhusu taasisi ya ndoa na kwa bahati mbaya niliathiriwa na mazingira katika utafiti wangu hivyo haukukamilika, katika lugha ya kiingeleza neno mume au mke ni pana sana na baada ya mapinduzi ya kiuchumi tafsri ya maneno haya imekuwa pana sana.

Nataka kujua toka kwenye jamii za kiafrika Mume ni nani? Ni yapi majukumu yake?.

Je kuna uhusiano wowote kati uongozi na utawala kwa mume?

Mke je anawajibu gani kwa mume, nafasi yake ni ipi? Kunatofauti za kimtazamo zinazo mmeza mume kwa mke?

nawakilisha!

Seriously umenifikirisha kitu ambacho sijawahi kukifikiria "critically"...

Hebu nijaribu kutoa majibu kidogo...

Kwanza neno "mume" kama linavyotumika katika mahusiano ya ndoa lina maana anuai kutokana na tamaduni husika (kumbuka "ndoa" ni utamaduni)

Katika mazingira ya kiafrika, nikirefer kitanzania, "mume" linatumika kumaanisha "male" - refer kwenye biblia (ilipotafsiriwa kiswahili kumeet tamaduni za kiafrica), tunaambiwa kwa mfano "kondoo au mbuzi 'mume' wa mwaka mmoja (refer waisraeli walipokuwa wanatoika Misri).

Kwa maana hiyo, kiafrica "mume" ina uhusiano wa moja kwa moja na jinsi... yaani "male". Ndio maana hata maneno "mwanaume", "dume" utaona "ume" ipo. Pia sehemu za mwili U"ume"... zinaendana na jinsia.

Therefore "mume" ni mwanaume in first place.

Kutokana na misingi hiyo, katika mahusiano ya ndoa (kiafrica), mume ni mhusika wa kiume "male" katika mahusiano hayo ambayo ni lazima yawe ya mwanaume na mwanamke (reference needed).
Hii ina maana kwamba "kiafrica", ndoa ili itambulike lazima iwe na Mwanaume na mwanamke (reference needed) na "mume" atakuwa yule mhusika wa kiume (male).

Kwanza tujadili hili kabla sijapost kuhusu majukumu ya "mume"...
 
Mume kwa mujibu wa jibu lako na uki ref; bible na tamaduni za kiafrika ni lazima awe na jinsia ya kiume, mpaka hapo sina tatizo. Kuna majukumu yake ambayo yameainshwa kwenye post zilizo tangulia.

Hoja inayoendelea kuibuka ni kwamba, ukiwa kwenye ndoa, ukaona mke anatekeleza zaidi sehemu ya majukumu ya mume anakuwa na haki ya kubadili tafsiri ya neno mume?
 
Mme ni mwanaume yeyote mwenye uwezo wa kuitunza kuihudumia na kumudu majukumu yote ya familia
 
Back
Top Bottom