Imani hii ipo sana, mimi nimekuwa nikiisikia zaidi kwenye makabila ya wapare.
Tusubiri tusikie na wengine wanasemaje?
Nilishuhudia mke akiachwa, kwa madai ni mlango wa nane.
Nahisi kuna kitu kwenye hili. Ningependa nijifunze kuelewa hili jambo kwa mapana yake.