Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
Mimi si mtaalamu wa sheria, ila naona utumishi wanachanganya watu. Mfano, unakuta mtumishi hayupo kazini bila taarifa kwa muda wa siku kadhaa, na ukaja ukapewa barua ya utoro kazini, charge sheet na ukaeleza kuwa nilikuwa naumwa na bado naumwa kabla ya zile siku kumi na nne. Baada ya hapo, ukapewa onyo, na ukapewa masharti kuwa sasa omba ruhusa kamili. Nikaandika ruhusa, ila sikupewa wakati details za hospitali zinaonyesha kuwa naumwa. ghafla, nikakatiwa mshahara wkti bado naumwa. Huu ni mwezi wa nane sasa bado naumwa. je, hapo mimi ni mtoro au si mtoro? Maana mi najua kosa la utoro liliisha baada ya charge sheet na kueleza tatizo ni nini.
Hili la kukatiwa mshahara ni sheria ipi inasema ninyimwe
.masharti hayo ni pamoja na kujaza fomu maalumu ya kutoka nje ya kituo cha kazi, na inasainiwa na mkuu wa idara. masharti yote nikatimiza. sasa hili la utoro tena linatoka wapi
Nipende kujua umedumu kwa muda gani katika ajira yako mkuuPia kama wao wanasema mi mtoro, je nini lilikuwa lengo la barua ya onyo, na wakanipa barua nyingine kuwa jaza sasa ruhusa rasmi ya kuondoka. Nikajaza na nikaondoka. Kwa nini waendelee kusema mi mtoro
Ndio ilisainiwa na mkuu wa idara, na mwanasheria wa halmashauri.
Mkuu hebu nisaidie nami, kuna kesi ambayo iko hivi, kuna mdogo mdogo wangu wa kike ni mwalimu, alipata taarifa kuwa kuna mwanafunzi Yuko mimba nayeye kama mwalimu akapeleka taarifa kwa mkuu, mkuu akaamua mtoto huyo apmwe bila kutumia wataalamu, mkuu alichukua kpimo na kuwaambia walimu wa masomo ya sayansi wapine , sasa kesi imekuja mkuu inaonekana hana kosa eti alishnikizwa na walimu na baada ya hapo mdogo wangu amekutwa na hatia ya kumpima mtoto ujauzito, hivyo amepewa barua ya kujieleza huku mkuu wakimwacha huru, je mini kifayike hapa?Mkuu nasubiri ushauri wako, tayari jana nimefungua kesi CMA ya kudai mishahara yangu, je nitaipata??