Nini maana ya kulala chini unapofiwa?


Kama amekufa kwa Ukimwi vile virusi mnakuwa mmevimwaga au?km alishamwambukiza mwenza snapona.

Kaka okokeni muachane na vifungo vya siasa.
 
mila nyingi za kibantu zinafanana, mimi nimetoka arusha na tunafanya hivyo ila baada ya kufagia uchafu tunauweka chini ya mgomba na baadae ndizi ikikomaa tunatengeneza pombe

Mnakuwa mnamnywa siyo.
 
mila nyingi za kibantu zinafanana, mimi nimetoka arusha na tunafanya hivyo ila baada ya kufagia uchafu tunauweka chini ya mgomba na baadae ndizi ikikomaa tunatengeneza pombe

Hahaa..saluti.
 

wewe sio Mzaramo
 

..duh sasa kama marehemu alikufa kwa marelia muache kuweka net kisa mmetupa sufulia makaburini...ila kama nimeielewa kidogo
 
Na makochi kutolewa sponchi ili wakalie chaga nini tafsiri yke?
Du. Mara nyingi makochi huondolewa mahali pake ili kutoa nafasi ya watu wanaokaa hasa akina mama. katika kuondoa makochi mara nyingi cushion hotolewa na wengine huzitumia chini kupunguza maumivu ya kukaa au kulala kwenye sakafu. Kwani kuna kitu cha ajabu hapo?
 
Naona uhaba wa vitanda sababu msiba sio kitu cha kufanya maandalizi kama sherehe utaandaa vinywaji au chakula ni kitu cha kushitukiza tu

Kuna umuhimu gani kulala hapo, si akalale majumbani kwenu muwaache waliotoka mbali
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!!!
 
Habari wana JF.

Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.

Nafikiri hii ilikuwa ni ishara ya kuonyesha maombolezo. Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo WAFIWA tulikuwa hatuogi kwa siku zote tatu wala kubadilisha nguo mpaka mkimaliza kuzika.

Lakini siku hizi watu wanapigilia misuti na sare za madera kutoka dubei kwenye msiba na mazishi. Na pia tunalala vitandani Kama kawaida na kugegeda juu. Nafikiri ni Alama za nyakati ( Signs of the Time).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…