Nini maana ya 'kula yamini'?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Wakuu JamiiForums, ni uwanja mpana.

Nisaidieni kunijuza maana watu wengi wanapenda kusema wamekula yamini, je yamini ni kitu gani?Msaada tafadhali ikiwezekana kama mtu ana picha ya chakula cha yamini aiweke hapa.
 
Yanini sio chakula ni watu wanaamua kula damu kwa kuweka nadhiri ila kwa dini zote ni haram maana damu ni alama ya uhai
 
afu hata mimi najiuliza hao wanaokula yamini inasemekana ni wapenzi peke yao, je mimi nikiwa na hamu ya kula yamini kama chakula nitaipata wapi?
 
Ni chakula kitamu sana chenye mchanganyiko wa dengu na ngano....vinapikwa kwa wingi sana maeneo ya ukanda wa pwani....hasa pale maeneo ya forodhani huko Zanzibar.......
 
Hata mimi nina mpango wa kuilia yamini JF ikifa tu na mimi bye bye
 
ImageUploadedByJamiiForums1466274346.510164.jpg
haya hiyo hapo ndo yamini. Unaweza kutumia kwa glass yeyote sio lazima hii yangu
 
Back
Top Bottom