Nini maana ya kufa kiroho?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,915
6,720
Tunapozungumzia Kufa kiroho maana yake unakufa neno na kwenye mioyo ya jamii inayokuzunguka

Watu wako wa karibu na jamii haikuthamini yaani mtu anakuwa hakukumbuki kabisa Kama vile inavyokuwa haikumbukwi maiti.

Ukiongea chochote hueleweki isipokuwa utakumbukwa na wafu wenzako na kueleweka na wafu wenzako nae akifufuka hakukumbuki.

Hii katika jamii inatokea Sana, watu wanandugu, marafiki wenye uwezo na hawana roho mbaya lakini kwako, hawazi kukusaidia wala kukujali kwa lolote lile.

Ukimkopesha mtu akukumbuki na Akikukumbuka anakudharau.

Watu watakao kukumbuka na kuunda urafiki ni watu unaofanana nao umri.

Hivyo ukiona hizo dalili ujue umekufa kiroho.
 
Nimekuacha dunia mm nimekkufa na dhambi zangu lakin nakukuta kuzimu umepanga mstari wa kwenda motoni ili hali upo dunia. your spirit is dying waiting for body comfirmation tu.
 
Moderator wameachia leo 😁!.

Ephesians 6:1... and other verses.
Inazungumzia kufa kiroho kwa mtu kufanya mambo yoyote mema na mabaya huku nafsi yako haijuti wala kufeel umekosea.

 
Moderator wameachia leo !.

Ephesians 6:1... and other verses.
Inazungumzia kufa kiroho kwa mtu kufanya mambo yoyote mema na mabaya huku nafsi yako haijuti wala kufeel umekosea.

Wameachia ninii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom