fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Habari za asubuhi wana JF. Jamani naomba msaada kujua what is happening to me.
Mimi ni kijana ambaye nipo single na nina umri wa miaka 25. Leo nimeota nafanya mapenzi na msichana ambaye namjua vizuri mpaka nikapiga bao. Basi mida ya saa 11 asubuhi nimestuka, nikahisi kama mtu mzima leo nimekojoa kitandani...kumbe si hivyo, ila boxer yangu ilikuwa ilikuwa imechafuka(nimejipigia bao) alafu bukta niliyokuwa nimeivaa, nimeikuta ipo usawa wa magotini(imevuliwa mpaka usawa wa magotini).
Anayejua maana ya hii wet dream please anieleweshe nii maana yake au what is happening. Afu hii si mara ya kwanza, ilishawahi nitokea but nikapuuza.
Sifanyi masihara wana JF, hii ni kweli na imenitokea usiku wa leo!!!