Basi kanusha kwamba Nyerere siyo baba wa Taifa hili tuone IQNani Mwana wa Nyerere wewe... Watoto wa Nyerere wote akili zao wanazijua wenyewe....
Star Tv Wakisema Tunapota habari za Mikoani wanaanza na Dar.
Ila Kuna utofauti na Jiji na Mkoa... Hata Pwani ni Mkoa... ila Sio Jiji
Dar ni kila kitu?!![emoji15] leteni chakula mikoani basi, ili tujue na chakula mnacho! Au mipaka ya dar ifungwe mwezi mmoja tu na chakula kisiingie, halafu tuone hiyo kila kitu ndo nini?! Kwa ufupi rahisi, dar ni mkoa omba omba hauwezi kujitegemea wala kusimama kwa miguu yake.Sawa hayo ni majiji lakin dar kitambo na istoshe ndo kila kitu ikulu ipo dar na istoshe kilimo au madin yanatoka mikoan lakin bei inapangiwa dar shekh huon kama dar ndo kila kitu
Ndugu bandari iko DarDar ni kila kitu?!![emoji15] leteni chakula mikoani basi, ili tujue na chakula mnacho! Au mipaka ya dar ifungwe mwezi mmoja tu na chakula kisiingie, halafu tuone hiyo kila kitu ndo nini?! Kwa ufupi rahisi, dar ni mkoa omba omba hauwezi kujitegemea wala kusimama kwa miguu yake.