Nini maana ya hatamu za uongozi?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,642
Nipo hapa nasoma katiba ya chama cha mapinduzi toleo la 2012!Nimekutana na neno ''hatamu''naomba wajuvi mniambie lina maana gani?
 
Hatamu ni zile kamba za kumuongozea farasi...hivyo mwalimu nyerere alitumia hilo neno Hatamu kipindi akiachia madaraka kwa mzee mwinyi...alisema sasa imefika wakati wa kuachia Hatamu za uongozi. Akiwa na maana kiongozi ndiye mshika Hatamu za nchi, ndiye anaelekeza mambo yaende wapi na kwa namna gani kama mwendesha farasi anavyofanya.

Nafikiri kidogo imekusaidia mkuu
 
nimekuelewa,ni kama kusema government machineries yani dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…