Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Habari zenu wakuu, nimeroot simu yangu tecno p5 na nataka ni-install hicho kitu but sijui maana yake :yo:
kwanza hiyo ROM ni nin mkuu?kwa jinc ninavyojua mm ni kwamba ili uweze custom ROM lazima uitoe hio ROM yako unayotumia kweny cmu na uibadilishe na ROM (CUSTOM ROM) yenye uwezo mkubwa...ni sawasawa na kuweka RAM kwny PC ....wanaojua zaid watanirekebisha..
Rom kwenye simu za smartphone ni kama os kwenye pc.Rom ni uwezo wa cm kuhifadhi vitu vyako km memory lkn
Cna hakika zaidi subiri watalamu waje kwa msaada zaidi
kivipi mkuuRom kwenye simu za smartphone ni kama os kwenye pc.
Rom kwenye simu za smartphone ni kama os kwenye pc.