Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini?
Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!?
Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni Chama Cha Wanyonge,je Mapinduzi ni kwa ajili ya Wanyonge?
Je Chama Cha Mapinduzi kinaruhusu Mwenyekiti wake kusemwa kama Polepole anavyofanya.?