42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Kuna mahali fulani nilituma CV yangu kwa ajili ya kuomba kazi sasa leo wakawa wamenipigia simu wakiomba niwatumie baadhi ya documents zangu zingine. Moja ya document waliyoiomba ni certificate of service. Nimejaribu kutafuta mtandaoni lakini bado sijapata clear definition kwamba hii ni document gani.
Msaada please kwa anayefahamu.
Msaada please kwa anayefahamu.