Hili ni Azimio kutoka vibaraka wa kuitetea Accacia akiwemo Wakili wao!!
we ni zaidi ya jinga yaa waweza kuwa zuzu au habithi hiyo ID hauitendei khaqi
Hili ni Azimio kutoka vibaraka wa kuitetea Accacia akiwemo Wakili wao!!
Hili ni Azimio kutoka vibaraka wa kuitetea Accacia akiwemo Wakili wao!!
Very precise bro...maigizo tu yale ya wana ccm wanaojifanya opposition...watamuumiza rungwe tu...hawa wana nia ya kumfunga mzee Hashim Lungwe, maana kwenye hilo kundi yeye ndio mpinzani pekee
Lowassa waziri mkuu wa zamani hawezi kua mpinzani
Mzee wa mama Tanzania aliwahi kupewa ubunge na kikwete(ccm), upinzani ameanza lini?
Seif Sharif Hamad huyu alikua kibaraka wa mda mrefu wa mchonga hawezi kua mpinzani
Zitto zuberi kabwe huyu hata wenzake chadema wanajua si mpinzani huyu
Labda mzee Lungwe, nae nasema labda
Hii nchi kuna wapinzani kweli ila si hili kundi lililokutana Zanzibar.
Sawa wacha waje tumechoka na utawala huu wa mkoloni mweusi na vibaraka wake watu wasiojulikana.