Nini maana ya Azimio la Zanzibar?

Nini maana ya Azimio la Zanzibar?

Hapa ndio utaona tuna wanasiasa WAPUMBAVU. Yaani zito jimboni kwake anaona hamna kiki ila akija kinondoni ndio atapata kiki.Kila mbunge akifanya siasa jimboni kwake shida ni nini?
Tuoneshe ilipoandikwa
 
CCM walivyokuwa wapuuzi wanafikiri hii ni kama UKAWA watapandikiza mapandikizi yao safari hii tunawafinya chini kwa chini.
Mkuu una bidii sana ila huwa hauruhusu kichwa kuangalia mambo kwa uhalisia, hivi huwa unamwamini ZZK?, kwenye kikao chao alikuwepo LOWASSA unaamini aliwahi kuwa mpinzani hata siku moja?, walinzi wake wote ni wa kitengo na kila alipo wapo hadi kwenye mikutano nyeti bado unaongelea habari ya kuweka mapandikizi?,. Tatizo siasa za mahaba zinawaletea upofu, nakuapia hakuna kinachopangwa na Maalim Seif au Zitto ambacho hakifiki kitengo, Maalim ni mtoto wa Nyerere, kweli ndo maana mliambiwa CCM itatawala milele maana mnavyokamatika kijinga hivi bila kujiuliza ndo inazidi kuwa vigumu kuiondoa CCM madarakani.ZZK,ENL,MAALIM SEIF... Ni wazee wa serikali, wapo pale kwa malengo maalum.Kafanye research.Hakuna mpango wa upinzani mtakaomuusisha ZZK utakaofanikiwa.Jiulize mwaka 2015 alipata wapi ela za kufanya kampeni kuzunguka nchi nzima na chama hakina ruzuku?,. Fanyeni research msiwe mnakurupuka tu.
 
AZIMIO LA ZANZIBAR, ni makubaliano kati ya watu wa Marekani na vibaraka wa karne ya 21 wanaoishi Tanzania kwa manufaa ya watu wa Marekani.
na yamefanyika muda muafaka. Tunatarajia kuchimba mafuta, sasa sijui mbinu za kuchafua eneo ili watu wajichotee zinaanza kuundwa mapema.... Anyways.... tutaona
 
Ila hii mijamaa mijanja sana kwa wanachama wao, inajua kabisa mwaka 2019 ni uchaguzi serikali za mitaa na kampeni zitakuwepo nchi nzima, sasa yenyewe itadanganya watu kuwa ni azimio la Zanzibar, wafuasi wa upinzani mnachezewa akili venu bana.
 
Mkuu una bidii sana ila huwa hauruhusu kichwa kuangalia mambo kwa uhalisia, hivi huwa unamwamini ZZK?, kwenye kikao chao alikuwepo LOWASSA unaamini aliwahi kuwa mpinzani hata siku moja?, walinzi wake wote ni wa kitengo na kila alipo wapo hadi kwenye mikutano nyeti bado unaongelea habari ya kuweka mapandikizi?,. Tatizo siasa za mahaba zinawaletea upofu, nakuapia hakuna kinachopangwa na Maalim Seif au Zitto ambacho hakifiki kitengo, Maalim ni mtoto wa Nyerere, kweli ndo maana mliambiwa CCM itatawala milele maana mnavyokamatika kijinga hivi bila kujiuliza ndo inazidi kuwa vigumu kuiondoa CCM madarakani.ZZK,ENL,MAALIM SEIF... Ni wazee wa serikali, wapo pale kwa malengo maalum.Kafanye research.Hakuna mpango wa upinzani mtakaomuusisha ZZK utakaofanikiwa.Jiulize mwaka 2015 alipata wapi ela za kufanya kampeni kuzunguka nchi nzima na chama hakina ruzuku?,. Fanyeni research msiwe mnakurupuka tu.
Huko imejaa misukule tu,reasoning capacity yao iko chini sana.
 
Ivi siku hizi ZItto anaaminika? Huyu dakika sifuri tu anawatelekeza wenzake
 
AZIMIO LA ZANZIBAR, ni makubaliano kati ya watu wa Marekani na vibaraka wa karne ya 21 wanaoishi Tanzania kwa manufaa ya watu wa Marekani.
wale Wamarekani ni bora mara mia kuliko hawa watindiga wetu toka Kolomije aisee!!
 
Huko imejaa misukule tu,reasoning capacity yao iko chini sana.
Mkuu sehemu nyingi humu huwa nikipita wakati mwingine nashindwa kujizuia najikuta nawatukana, kuna mmoja nimemsahau jina yeye tangu wiki iliyopita anaamini eti European Union na US watakuja kumuondoa JPM madarakani, inavyoonekana alijua hata Christmas isingefika hilo jambo lingekuwa limetokea, na unaweza kukuta ana vyeti vya chuo kikuu. Wanaishi kwa ndoto na upeo wao wa kufikiri na ku reason upo chini sana. Ila muda utafika akili zitawarudia tu.
 
Hahahahahah yaani humu jf unakuta kila mtu anajifanya ana degree lkn ukipima hoja zake unaweza sema ni form four failure.
 
Ila hii mijamaa mijanja sana kwa wanachama wao, inajua kabisa mwaka 2019 ni uchaguzi serikali za mitaa na kampeni zitakuwepo nchi nzima, sasa yenyewe itadanganya watu kuwa ni azimio la Zanzibar, wafuasi wa upinzani mnachezewa akili venu bana.
nibora kuchezewa akili kuliko kuchezewa mgongo
 
Hakuna jipya wote ni vibaraka
Baada ya kuona tamko kwa kiingereza limemokosa mapokezi,mmerudi kutoa ufafanuzi kwa ajili ya wamatumbi,too late brother!
 
Back
Top Bottom