FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 519
Sexual fantasy (kwa Kiswahili: njozi za ngono au maono ya kimapenzi ya kufikirika) ni picha, mawazo, au matukio ya kimapenzi ambayo mtu anayawazia kichwani mwake ili kujisisimua au kuongeza hamu ya siri ya kimapenzi. Mawazo haya hutengenezwa na akili au ubunifu wa mtu mwenyewe. Mara nyingi yanajumuisha mambo ambayo mtu anatamani kuyafanya au kushuhudia katika tendo la ndoa.Wenye kufahamu kwakina Nini maana sexual fantasy?
Tupeane maarifa maujuzi sasa
Uwanja ni wetu
eleza hata kwa kiswahili tu na itapendeza zaidi πSijui kingereza
Kwa kiswahili
Ndio kitu gani hichoπ€
Hata sijui mdaueleza hata kwa kiswahili tu na itapendeza zaidi π
nikulipie kwa rass Simba au British council ukajimodifie?πHata sijui mdau
Chagua wewe ulipie wapiπ πnikulipie kwa rass Simba au British council ukajimodifie?π
hebu njoo huku mara moja ndugu mdau πChagua wewe ulipie wapiπ π
πhebu njoo huku mara moja ndugu mdau π
ππ
π ππ