Nini maana halisi ya usaliti?

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,843
Nitafsirieni maana ya hili neno kwasababu kuna ubishi kati yetu hapa. Jamaa kaenda kwa mchumba wake bila kumpa taarifa na kufika tuu akachukua simu yake akaanza kupekua. Kwenye whatsapp kakuta picha za uchi za mchumba wake alizomtumia jamaa mwingine huku wakiitana mpenzi na maneno matamu matamu. Demu akashtukia anakaguliwa akamkwapua jamaa simu na kuanza kujieleza kuwa amsamehe maana hajamsaliti bali alijisahau tuu kwa kushawishiwa na huyo mwanume mwingine na pia akadai hawajawahi kukutana hata ana kwa ana. Jamaa kachanganyikiwa sana na ikabidi tumuulize kulikoni? Ndipo akatusimulia na sisi tukajaribu kumshauri. Ila kati yetu, kuna jamaa wawili wanadai hana sababu ya kumwacha kama anampenda maana huo sio usaliti. Wana jamii wenzangu, hebu toeni mchango wenu wa mawazo nami nita print nimpe mwenyewe asome maana yeye siyo member wa jamiiforums.
 
Huo ni usaliti...usaliti huanza na nia na humaliziwa na kitendo (matendo)....
 
Reactions: JMF

Una miaka mingapi? ishu za mapenzi ziko complicated mno
 
duuuh ye kama anampenda amsamehe tu.but hapo hakuna mwanamke
 
Reactions: JMF
Amsamehe kwa sasa na afuatilie mwenendo wake akiona anaendelea ampige chini
 
Reactions: JMF
mpaka hapo huo ni usali lakini si lazima amwache kwa sababu hiyo mapenz yana changamoto hata yeye anaweza kukutwa na the same case siku moja. Wazungumze tu wayamalize kama wanapendana bado
 
Reactions: JMF
Ndio huo pia ni aina ya usaliti maanake usaliti ni kuvunja mapatano mliyokubaliana au ahadi mliyowekeana,wakati wanatumiana hizo picha waliahidiana kuzisambaza kwa watu wengine au walitumiana kwa faida yao wenyewe binafsi,kwa ufupi huyo jamaa hafai iko siku atarekodi mkanda anamgegeda afu azisambaze kwa watu hakuna upendo hapo.
 
Reactions: JMF
iv kumtumia uchi , mtu ambae sio mpenzi wako sio usaliti kweli? sa sijui tuuitaje.....
 
Reactions: JMF
thats why i like one night stand,,u never get to bored,,embrassed,,,hurted,,its jst havin funny ntaenda kuoaaa kishmunduuuu
 
Hapo kunausaliti tayari.............ukiona nyoya jua kashaliwa au kalambwa na mbwa, mtazamo tuuu!!
 
Reactions: JMF
Huyo hastahili kuwa mchumba wa jamaa yako..amshukuru Mungu kamsanua...binti anayejiheshimu hawezi kufanya upuuzi huo wakati yupo kwenye mahusiano...she is a wh0re
 
Reactions: JMF
Huo ni usaliti tena wa hali ya juu.. Inaitwa Emotional cheating.. Apo kashakuumiza kihisia. Hapo ni whatsapp hujui je siku mkinuniana ama kupata mkwaruzo mdogo siatakimbilia kwa huyo jamaaa.. na kwann amtumie picha za utupu huyo jamaa? wanataka kufanya nn? sini kuvunja amri ya sita kwa mtazamo wangu mwonyee kama hasikii we mwache bwana maana hivi vitu vinaumiza saana, especially if yu love that someone soo bad and yuve devoted yourself to her fully.. why trouble yourself?
 
Reactions: JMF
Tayari kuna mensrea (nia ovu) hata kama hakuna actus reus (kitendo kiovu). Kwahiyo jamaa awe makini ila ushauri wangu huyo demu hafai.
 
Reactions: JMF

usalit sio ad umkute mwenzio uch juu ya kitanda huwezi tuma picha za uchi kwa lijitu tu from no where huyo bi shosti ni bonge la msanii na MSALITI pia
 
Reactions: JMF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…