Kama hauamini katika imani yeyote, basi ni halali yako kuona sio dhambi....Uasherati ni dhambi?..na kosa lake ni nin mi kuridhiana na dem wangu tena kwa furaha zote.
Kumbe uko vizuri eeWewe na girlfriend wako mnafanya uasherati
Ubaya wa kufanya uko wap?..nafaham ubaya wa kuiba,kwamba mwenzio ametafta chake wew ukichukue,hapo maelewano kutakua hakuna kat ya pande mbili,..sasa kufanya tendo na dem wangu tena wote tumeridhia kuna ubaya gan?..anyways,..when you come up with religious factors that significantly keep you away frm questioning,ndo majib kama haya yanakuja,sauwa bwana.Kama hauamini katika imani yeyote, basi ni halali yako kuona sio dhambi....
Hivo unaweza hata kuiba kisha ukaona sio dhambi kwasababu hukua nacho hivo umeiba umepata
Mi nadhan tafsiri ya kwanza kabsa kabla ya vile vitabu vya zaman kutafsiriwa ilimaanisha kuzini manake ni kama ile niliyoiweka pale mwanzo,ila,hii ishu ya tafsiri na lugha nyiiingi ndo zmeleta mkanganyiko huu,Inategemeana na imani yako,kwa mfano mkristu au muislam huamini kuwa uasherati ni dhambi na mashahara wa dhambi ni mauti,yaani kifo na adhabu ya milele motoni,ila kama unaimani tofauti na hivyo basi hufanyi kosa,soo ninafsi yako na unavyo amini.
Hao wazungu ndo walikuja fundisha ukristu huku africa..anyways ,kwa muslims sina uhakika saana na hizo adhabu..mpaka leo sijaona ubaya wa kufanya mapenz na gf wangu,tena wote tukirudhia kwa furaha,anywaysHio ni definition ya wazungu
Kwao kusex kabla ya ndoa kwa gf na bf ni sawa ila usi sex na mtu aliepo kwenye ndoa.
Japo sisi waislam anaezini akiwa katika ndoa hukum yake ni kifo ila anaezini akiwa hajaoa au kuolewa apigwe viboko 80.
Tofauti ya mzinifu alieoa na asie oa ipo.
Laiti tungejua ubaya na madhara ya zinaa,tusingekua tunajianika humu jf kila mtu ajue maovu yetu.
Hata mla rushwa na mtoa rushwa huwa wanaridhiana ila ni dhambi.Uasherati ni dhambi?..na kosa lake ni nin mi kuridhiana na dem wangu tena kwa furaha zote.
Tatizo una judge vtu kwa mtazamo wako.Hao wazungu ndo walikuja fundisha ukristu huku africa..anyways ,kwa muslims sina uhakika saana na hizo adhabu..mpaka leo sijaona ubaya wa kufanya mapenz na gf wangu,tena wote tukirudhia kwa furaha,anyways
Ukiangalia hiz dhambi nyingne ni kwel ziko logical,..kwa mfano hyo ya kutaman mal/mke wa mwenzio,au kuiba etc,i see the impact,kwamba kuna madhara dhahir kabsa hutokea baada ya kufanya hizo dhambi,..ila kwa gf na bf ambao wameridhiana ,kiukwel kwa tafsir ya kuzini sion kama ni kosa lolote.Kwa mujibu wa ukristu, kufanya mapenzi kabla Hujafunga ndoa ni kuzini. Pia imekatazwa hata kumtamani mwanamke asiye mke wako.
Tatizo una judge vtu kwa mtazamo wako.Hao wazungu ndo walikuja fundisha ukristu huku africa..anyways ,kwa muslims sina uhakika saana na hizo adhabu..mpaka leo sijaona ubaya wa kufanya mapenz na gf wangu,tena wote tukirudhia kwa furaha,anyways
Hii ndio point sasa.Tatizo una judge vtu kwa mtazamo wako.
Wakati dini imekuja kumpa mwanadam mfumo kamili wa maisha.
Ingekua maisha ni kuamua,basi watu wangelala na mama zao,Dada zao n.k
Hao wazungu ndo walikuja fundisha ukristu huku africa..anyways ,kwa muslims sina uhakika saana na hizo adhabu..mpaka leo sijaona ubaya wa kufanya mapenz na gf wangu,tena wote tukirudhia kwa furaha,anyways