Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

Nini lengo la Elimu kwenye kizazi hiki

SinaMdaa

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
37
Reaction score
78
Habarini wakuu, natumaini mu wazima.

Moja Kwa Moja kwenye mada,
Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa haitatui matatizo iliyopaswa kuyatatua .

Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii mbona wasioenda shule ndio wanaplay party kubwa kwenye hilo.

Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye nidhamu ya kazi mbn wasioenda shule ndio wapo vizuri kwenye ilo kushow up early and everyday kwenye kazi wasioenda shule ndio wapo vizuri kwenye hili

Kama Elimu iliwekwa kuwaanda watu kuwa waajiriwa kujipatia kipato kuendesha maisha Yao ya kila siku mbona hii imepitwa na Wakati kitambo sana ,,since namna wazee wetu walikuwa wanajipatia kipato miaka ya 90's kurudi sio sawa na miaka hii watu wanajiingia kipato Kwa njian ambazo hazijawahi tarajiw
 
Elimu ni pana sana ila wewe umeamua kuiweka kwenye andiko moja kwa hoja zilizo base upande mmoja... nashindwa kuelewa hoja yako umeijenga kwa kuzingatia field ipi hasa ila kiuhalisia kuna field ambazo hazina njia mbadala zaidi ya kupiga kitabu tu, field kama madaktari, field kama walimu, field kama marubani, field kama mafundi wote (engineers), field kama madereva na kadhalika...

Kwahiyo lengo la elimu halihitaji kutafutwa kwa tochi bali liko wazi kabisa😊
 
Lengo ni lile lile kama la wakati wako, kama halikusadia kwako basi ujue hata vizazi vyako havitafaidika, na kama umefaidika na kwao itakuwa hivyo tu, amavipi jilipue uwapeleke USA, Korea, Uchina n.k au hata hapo jirani kwa Onyango unaweza kuwasweka hapo huenda watapata cha tofauti.
 
Ninachojua elimu inaondoa ujinga ushamba na kukuza ubongo Kwa mambo mengi
Sio kwamba tunapeleka watoto shule Ili iwasaidie kiuchumi ila elimu inamfanya mtu awe civilize Kuna tofaut Kwa mtu aliyeenda shule na ambaye hajaenda Hilo lipo waz hata kama huyo aliyeelimika ni jambaz mwizi ila Kuna utofaut na ambaye hajasoma
 
Thamani ya Elimu itaendelea kubaki kama ilivyo,miaka na miaka,

Hata hiyo simu uliyoitumia kuweka huu uzi hapa ni matokeo ya elimu,umeme ulioutumia kuchaji hiyo simu yako ni matokeo ya Elimu,

Nguo,Saa,viatu,tv,Gari,Pasi....vyote hivyo ni matokeo ya elimu,

Mfano mtu ana Duka la kuuza simu,spare za Pikipiki au spare za magari kisha anawadharau wenye elimu,huku akiuza bidhaa zilizotengenezwa kwa kuitumia hiyo elimu anayoidharau,akiumwa ataenda kutibiwa na Daktari mwenye elimu,

Thamani ya Elimu haipimwi kama ulivyoipima wewe kwenye huu uzi wako.
 
Ninachojua elimu inaondoa ujinga ushamba na kukuza ubongo Kwa mambo mengi
Sio kwamba tunapeleka watoto shule Ili iwasaidie kiuchumi ila elimu inamfanya mtu awe civilize Kuna tofaut Kwa mtu aliyeenda shule na ambaye hajaenda Hilo lipo waz hata kama huyo aliyeelimika ni jambaz mwizi ila Kuna utofaut na ambaye hajasoma
Uzi ufungwe.
 
ELIMU ina raha yake bhana, maarifa, upeo, ujuzi, upembuzi, ufumbuzi wa mambo kwa kina, yaan huteterekii.

Nakumbuka niliwahi bishana na mtu kuhusu mada fulanii, nilikua nampa hoja kwa facts mahsusi.
Baadae aliishia kusema, "shukuru Nawe ulingiia darasani vinginevyo aaah kwishaaa"

😂😂😂😂😂
 
Coca hujanijibu kule ili tuanze tuition.
 
Elimu ni pana sana ila wewe umeamua kuiweka kwenye andiko moja kwa hoja zilizo base upande mmoja... nashindwa kuelewa hoja yako umeijenga kwa kuzingatia field ipi hasa ila kiuhalisia kuna field ambazo hazina njia mbadala zaidi ya kupiga kitabu tu, field kama madaktari, field kama walimu, field kama marubani, field kama mafundi wote (engineers), field kama madereva na kadhalika...

Kwahiyo lengo la elimu halihitaji kutafutwa kwa tochi bali liko wazi kabisa😊
Mkuu mi nazungzia hii formal education ambayo unamtaka mtu akae darasani almost 15 years ndio apewe bachelor
 
Lengo la elimu liko pale pale na harijabadilika toka miaka ya 60 adi leo kazi na lengo la elimu ni lile lile

Shida yako unawa sana tena kibaya zaidi unawaza karibu tumia akili na elimu yako kuwaza mbali ila ukiwaza karibu bas umeharibu kila kitu
 
Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii mbona wasioenda shule ndio wanaplay party kubwa kwenye hilo.
Katika aya hii nafikiri ni kwa sababu wasioenda shule wana show-offs nyingi, pia wana ile shauku kali ya kutaka kudhihirisha kutosoma kwao sio kikwazo. kwaio ni rahisi kuwaona, lakini wapo waliopiga shule na wanafanya mambo makubwa. Ni rahisi kumwona chief godlove kuliko kumwona Benjamin Fernandez.

Kuna upepo wa kuwadhalikisha wasomi ulianzishwa hapo miaka ya Magufuli, ndio huu ambao hata wewe umeutumia kujenga hoja yako. Elimu yetu ina mapungugu kidogo lakini tukichukua demography ya waliosoma na ambao hawajasoma, population kubwa zaidi ya wanaoishi maisha duni ipo kwa ambao hawajasoma.

Kama mfumo wetu wa elimu una mapungufu basi suluhisho ni kuuboresha lakini hii mbinu inayotumika ya kutaka kuwashusha wasomi na kuwapandisha wasiosoma ndio tutaalibu kabisa
 
C saba za mawasiliano.. pita huku mtoa mada
Clarity (Ufafanuzi / Wazi) – Ujumbe uwe wazi na usiyo na utata. Ujumbe usio wazi unaweza kuleta mkanganyiko.
Mfano: Badala ya kusema “Tunahitaji kuongeza mauzo,” sema “Tunataka kuongeza mauzo ya Bidhaa X kwa 10% mwezi huu.”
Conciseness (Ufupi / Kuweka kwa ufupi) – Ujumbe uwe mfupi na wa moja kwa moja, bila maneno yasiyo ya lazima.
Mfano: “Tuma ripoti ifikapo Ijumaa” badala ya maelezo marefu yasiyo na maana.
Concreteness (Uthabiti / Uhakika) – Tumia mifano halisi, takwimu na maelezo sahihi. Hii huongeza uaminifu wa ujumbe.
Mfano: “Tumeuza vitengo 1,500 mwezi Agosti” badala ya “Tumeuza mengi.”
Correctness (Usahihi / Sahihi) – Tumia msamiati sahihi, sarufi, na taarifa zilizopo sahihi. Makosa huondoa uaminifu.
Mfano: Hakikisha tarehe, majina, na takwimu zote ni sahihi.
Consideration (Kujali / Kuzingatia) – Fikiria hisia, mahitaji, na mtazamo wa mpokeaji. Onyesha heshima na huruma.
Mfano: “Ninaelewa una ratiba ngumu; nimefupisha ripoti ukurasa mmoja tu.”
Completeness (Ukamilifu / Kukamilisha) – Ujumbe uwe kamili na usiache sehemu muhimu. Hii husaidia mpokeaji kuelewa na kuchukua hatua.
Mfano: Badala ya “Tukutane saa 3,” sema “Tukutane saa 3 kwenye chumba cha mkutano kujadili bajeti ya robo ya tatu.”
Courtesy (Heshima / Hali ya heshima) – Uwe na adabu, heshima, na mtazamo chanya. Hii huimarisha uhusiano.
Mfano: “Tafadhali hakiki nyaraka hizi kadri uwe na nafasi” badala ya kusema kwa ukali “Haki nyaraka hizi sasa.”
 
Sawa mkuu kila siku ni kujifunza
 
Back
Top Bottom