Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kwa bahati mbaya sana ukawa ikivunjika CDM bado ina nguvu ya ku take on ccm peke yake..Tatizo litakuwa ni kwamba CCM watabaki na hawana BARA WA PWANI...kura zitagawanwa kwa CDM ktk kanda kadhaa kubwa,CUF ktk kanda kadhaa na Zenj,NCCR km kawa nao wana nguvu sana Magharibi mwa nchi.CCM sijui watabaki na Dodoma Vijijini na morogoro kidogo..biashara yao itakuwa kushine.Mbona mnapagawa mapema kiasi hiki subiri dawa iingie ccm chama ambacho watanzania bado wanakiamini sana itashinda kwa kiasi kikubwa sana mnaweza hata kuchanganyikiwa.