Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

Umefurahi?
The late was the Father, Uncle , Grand father, Friend and good enough was President to our Nation. Jaribu kuangalia ni kwa kiasi gani watu wameumia kwa msiba wake.

There's no way you can rejoice for this big lost to the Nation, unless you are unfit upstairs.

Remember, this is not our home. Neither me nor else could stay alive forever.

Gentleman get busy enjoy your life 🥂 🥂
 
Watu wameumia au wewe ndo unaumia..?

Unafikiri Farao na jeshi lake (maadui wa watu wa Mungu) walipokufa kwa kughalifishwa na maji ya bahari ya Shamu, Israel aliumia na kusikitika..?

No, way. Walifurahi kwa sababu watesi wao waliuliwa na Mungu mwenyewe...

Ndivyo ilivyo sisi Watanzania leo. We are happy kwa sababu watesi wetu kwa kuanzia na Mtesi mkuu has been eliminated, he is out of the equation...!
 
Tunapohudhuria mazishi ya binadamu yeyote huwa tunaingia na huzuni hasa pale mwili wake unaposhushwa kabulini na hatimaye kufukiwa.

Huyo pia alikuwa ni mwenzetu, so in anyhow tuliingiwa na huzuni kwa kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuoana naye tena.

Haijalishi aliumiza au kutesa wangapi lakini mwili wake ulipoingizwa kabulini, we all got sad kwa kuwa ndiyo mwisho wa kumwona in this beautiful Planet.

Let's enjoy life as we go older and perish accordingly 🥂🥂
 
sio kweli kwa binadamu wote,
watu hawa kama akina Iddi Amini waliimbiwa nyimbo kwamba
"Iddi Amini akifa mimi siwezi kulia
nitamtupa kagera awe chakula cha mamba.
Embu chukulia wewe ni mmoja kati ya wafanyabiashara ambao akaunti imefungwa kutokana na maelezo yake huyo marehemu
na kufanya wafanyabiashara washindwe kufanya transcation na hata kupelekea wengine kufilisika.
Juzi niliona clip watu wanamzika nadhani mtu aliyekuwa na tabia kama za jiwe
walichofanya waombolezaji ni kulitupa jeneza ndani ya kaburi refu ambapo jeneza lilienda kuanguka kama limesimama sijui kichwa chini miguu juu wakamzika hivyohivyo huku wakimzomea marehemu jiwe alistahili kuzikwa hivyo
 
Kafa kifo Cha aibu Sana, dharula na fedheha.Hata wanafiki hawakupata taarifa kumuombea afya Asante Mungu Baba kwa Suluhu
 
Back
Top Bottom