Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,212
- 31,527
Huenda na Gardner alivumilia mengi kwa Jide huoni hata walipoachana kashindwa kaa kwenye mahusiano?
Huenda na Gardner alivumilia mengi kwa Jide huoni hata walipoachana kashindwa kaa kwenye mahusiano?
Kwa Mara ya kwanza huenda tunamisimamo inayofanana.Anajiheshimu.
Tangu linJide na Gardner washarudiana kitamboo