Nini kinasababisha utofauti mkubwa wa ufaulu kati ya shule za binafsi na za serikali?

Kwanini kuna muachano mkubwa wa ufaulu kati ya shule za binafsi Na zile za serikali?? Nisaidieni hoja ata saba
Mkuu ukweli ni kwamba wale jamaa wanaiba mitihani na ndo maana waliosoma private o level wakienda government a level wanakimbizwa vibaya na waliotoka kata na mtihani wa nwisho wanafeli
Pia wanafunzi wanasaidiwa kipindi cha mitihani na walinzi wanakuwa walinzi hewa government ni majembe private wanabebwa
 
Shule za private ni bora kuliko govt kwa sababu zifuataz
1:private humuandaa mwanafunzi kuelewa vitu kwa undani zaidi tofauti na wale wa govt, ambao utakuta mtu ana hitimu mafunzo lakini hata test tube haijui
2:Wanafunzi wa govt ambao wamesoma michepuo ya sayansi,sayansi yao wengi huwa ni fake kwa kuwa weng wao wanafundishwa ku forge practical hasa za phys na walimu wa mitaani,hivyo basi wengi wao huonekana wamefaulu mitihan
iyao ya practical lakini kumbe kichwan hamna kitu na hivyo basi ndo chanzo cha kuzalisha wataalamu fake
3:wanafunzi wa govt wanaongoza kwa kukariri kuliko kuelewa
 
4:wanafunzi wa govt wengi wao wanasoma madesa kuliko vitabu.Hivyo basi weng wao wanakuwa wapo shallow sana kwa kuwa wanasomea mitihani tu na sio kusoma ili wajue vitu kwa undani
5:
 
Shule za private ni bora kuliko govt kwa sababu zifuataz
1:private humuandaa mwanafunzi kuelewa vitu kwa undani zaidi tofauti na wale wa govt, ambao utakuta mtu ana hitimu mafunzo lakini hata test tube haijui
2:Wanafunzi wa govt ambao wamesoma michepuo ya sayansi,sayansi yao wengi huwa ni fake kwa kuwa weng wao wanafundishwa ku forge practical hasa za phys na walimu wa mitaani,hivyo basi wengi wao huonekana wamefaulu mitihan
iyao ya practical lakini kumbe kichwan hamna kitu na hivyo basi ndo chanzo cha kuzalisha wataalamu fake
3:wanafunzi wa govt wanaongoza kwa kukariri kuliko kuelewa
Haha,,umeelewa swali kiongozi!!unaenda OP hadi kwenye thread uku!sijui darasani ilikuaje!
 
Hapana sio kwamba sijaelewa swali bali nilikuwa namuelimisha huyo anayejiita pwilo jinsi anavyokandia shule za private eti wanapewa mitihani .Ni ukweli usiopingika kwamba hata kama shule za govt zitaingia 10 kitaifa lakin ukweli unabaki pale pale kwamba elimu yao ni feki,mfano mzuri huwezi ukasema shule kama kisimiri ingawa imekuwa ya kwanza kitaifa kuwa eti elimu inayotolewa pale ni bora kuliko ya shule kama feza boys &girls au marian boys& girls
Af pili shule zinazoiba mitihani ni hizi za serikali kwa kuwa hawana uhakika na maandalizi yao
 
Vipi Wakiingia Chuo Bado Private Wanawakokota Government?
Mkuu Hao Wanaosoma Private Hawakai Mbinguni Bali Wanakaa Humihumu Mitaani Tunamoishi sisi!! Kwahiyo Hilo Halina Ubishi Kuwa Private Wanaiba Mitihani Na Wao Wanafunzi Wa Private Ndiyo Wanaotupa Issue!
Mfano Mdogo Kuna Rafiki Yangu Mmoja Ambaye Alitoka na 1 ya point 10 O-Level Pale Feza Boys Mwaka 2010 Na Alipoingia Government A-Level alipigika ikabidi Akutane na mimi niliyesoma Shule Ya Kata Kwenye Diploma!

Huyu Mchizi alinipa Stori Nyingi Tu Za Fedha nikajua Hawana Lolote Coz Diploma Alikuwa Anaburuzwa na Madogo Walioishia Kidato Cha Nne Na CCDDDDD
 
Mkuu ukweli ni kwamba wale jamaa wanaiba mitihani na ndo maana waliosoma private o level wakienda government a level wanakimbizwa vibaya na waliotoka kata na mtihani wa nwisho wanafeli
Pia wanafunzi wanasaidiwa kipindi cha mitihani na walinzi wanakuwa walinzi hewa government ni majembe private wanabebwa
usiseme kwa wote maana nimesoma private cjawah kuona iyo k2 shule niliyotoka
 
Shule za private ni bora kuliko govt kwa sababu zifuataz
1:private humuandaa mwanafunzi kuelewa vitu kwa undani zaidi tofauti na wale wa govt, ambao utakuta mtu ana hitimu mafunzo lakini hata test tube haijui
2:Wanafunzi wa govt ambao wamesoma michepuo ya sayansi,sayansi yao wengi huwa ni fake kwa kuwa weng wao wanafundishwa ku forge practical hasa za phys na walimu wa mitaani,hivyo basi wengi wao huonekana wamefaulu mitihan
iyao ya practical lakini kumbe kichwan hamna kitu na hivyo basi ndo chanzo cha kuzalisha wataalamu fake
3:wanafunzi wa govt wanaongoza kwa kukariri kuliko kuelewa
exactly jamaa umenena
 
Mkuu ukweli ni kwamba wale jamaa wanaiba mitihani na ndo maana waliosoma private o level wakienda government a level wanakimbizwa vibaya na waliotoka kata na mtihani wa nwisho wanafeli
Pia wanafunzi wanasaidiwa kipindi cha mitihani na walinzi wanakuwa walinzi hewa government ni majembe private wanabebwa
Nakumbuka advance kuna wadada walitoka st fransis, na maryan na one point eight ila advance walifeli wakiwa government hata Chuo kikii ndo wanaongoza Ku disco kwa sababu no spoon feeding
 
Nakumbuka advance kuna wadada walitoka st fransis, na maryan na one point eight ila advance walifeli wakiwa government hata Chuo kikii ndo wanaongoza Ku disco kwa sababu no spoon feeding

Vipi Wakiingia Chuo Bado Private Wanawakokota Government?
Mkuu Hao Wanaosoma Private Hawakai Mbinguni Bali Wanakaa Humihumu Mitaani Tunamoishi sisi!! Kwahiyo Hilo Halina Ubishi Kuwa Private Wanaiba Mitihani Na Wao Wanafunzi Wa Private Ndiyo Wanaotupa Issue!
Mfano Mdogo Kuna Rafiki Yangu Mmoja Ambaye Alitoka na 1 ya point 10 O-Level Pale Feza Boys Mwaka 2010 Na Alipoingia Government A-Level alipigika ikabidi Akutane na mimi niliyesoma Shule Ya Kata Kwenye Diploma!

Huyu Mchizi alinipa Stori Nyingi Tu Za Fedha nikajua Hawana Lolote Coz Diploma Alikuwa Anaburuzwa na Madogo Walioishia Kidato Cha Nne Na CCDDDDD
Kufeli kwao hakumaanishi kwamba uwezo wao ulikuwa mdogo.Bali unatokana na sababu zifuatazo
1:Mazingira duni waliyokutana nayo
ambayo wao binafsi hawajayazoea
2:Uchaguzi mbovu wa tahasusi(combination) mf labda wamechaguwa kwenda pcm kwa kuwa tu mitihani yao ya mwisho walifaulu sana bila kuangalia huko nyuma walikuwa wanafaulu zaidi masomo gani

Alaf unavyosema kwamba wanafunzi wa private washazoea spoon feeding hiyo kitu siyo kweli kwa kuwa,mwalimu akisha play part yake anawaachia wanafunzi assignment wakaangaike nayo.
Ila njoo sasa kwa hawa govt ambao washazoea mtelemko,Wengi wao kusoma vitabu kama chands au biological science hawawezi bali watataka kusoma madesa yao ambao yamerahisishwa na walimu wao wa mitaani kama akina said mgote au mandia
Alaf sio hivyo tu bali hawa walimu wao wa mitaani huwa wanawandalia program za kuwasovia maswali ya mbalimbali ya mitihani
 
Ndio ni ukweli kabsa wanafunz tulio nao weng gov ni wachomvu ususan shule za kata,maana weng wao hapend kwel kujsomea mpaka mjared upte, hao prev cna nao uwelewa sn ila
 
Kufeli kwao hakumaanishi kwamba uwezo wao ulikuwa mdogo.Bali unatokana na sababu zifuatazo
1:Mazingira duni waliyokutana nayo
ambayo wao binafsi hawajayazoea
2:Uchaguzi mbovu wa tahasusi(combination) mf labda wamechaguwa kwenda pcm kwa kuwa tu mitihani yao ya mwisho walifaulu sana bila kuangalia huko nyuma walikuwa wanafaulu zaidi masomo gani

Alaf unavyosema kwamba wanafunzi wa private washazoea spoon feeding hiyo kitu siyo kweli kwa kuwa,mwalimu akisha play part yake anawaachia wanafunzi assignment wakaangaike nayo.
Ila njoo sasa kwa hawa govt ambao washazoea mtelemko,Wengi wao kusoma vitabu kama chands au biological science hawawezi bali watataka kusoma madesa yao ambao yamerahisishwa na walimu wao wa mitaani kama akina said mgote au mandia
Alaf sio hivyo tu bali hawa walimu wao wa mitaani huwa wanawandalia program za kuwasovia maswali ya mbalimbali ya mitihani
Sio kweli mkuu,,wanafunzi wanaosoma madesa na solving mtaani ni wachache tu ukilinganisha na idadi ya wanafunzi wanaosoma government lakini ukweli unabaki kwamba kichwa kinachotoka goverment ni moto wa kuotea mbali katika ngazi zote za elimu ndo maana kuna special schools
 
Back
Top Bottom