Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Unakuta una mtu wako unampenda kwelikweli,yaani huambiwi husikiii umekufa umeoza kabisa,halafu mtu huyo huyo Kuna watu walishampitia mara kadhaa kabla yako halafu wakaachana naye na hawataki hata kumsikia,Wakati huo huo wapo ambao walishampitia wakaachana na wanamtafuta kwa udi na uvumba ili warudiane,je hii hali inatokana na nini hasa?