MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,042
- 40,532
Wavulana wa mikoani katika ubora wao
Duh mnavyo laumu utafikiri nimehonga hela nyingi swala nilitaka kujua tu kuna uhusiano gani au yeye huwa anafikilia nini basi (naogopa hata kusema nilihonga bei gani maana ni aibu )Ameshajua kuwa, kwa style zako hizo za matumizi ya ovyoovyo,e ni lazima utakufa masikni.
Mtu gani hujui dhamani ya fedha.
Take note..Shida yako hujiamini. Una mawazo ya kijinga sana. Alie kwambia mwanamke anahitaji pesa yako from no where ni nani?
Unapompa pesa mwanamke bila ya yehe kukuomba unamuonyesha kwamba you a desperate, unatamaa fulani, au unadhani yeye ni malaya so anauza. Mwanamke ataona kama una lako jambo...
Mpe hela anapohitaji, sio utume tu from no where.
ACHA UDOMO ZEGE WA KUTANGULIZA HELA UKIDHANI UTAPENDWA..
hahah, kwel kabsa
Wakuja / Mlugaluga huyo Mkuu hivyo wacha wamtengeneze tu kwani hakuna namna.
Tayari umeshatuwakilishaWajuzi wa mambo watakuambia hili ni tangazo la biashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hata kukopa K inaonekana hujui.
Matumizi ya lugha[emoji1]Wajuzi wa mambo watakuambia hili ni tangazo la biashara
[emoji23][emoji23]Wewe hata kukopa K inaonekana hujui.