Nini kinasababisha nikihonga mapema siwapati?

Nini kinasababisha nikihonga mapema siwapati?

aisee kakuhurumia sana huyo, kumbe umemtumia maramoja. wengine angekuchna mpaka dam zitoke na papuchi hupati
 
Si umeamua kuwa gari la mshahara. Sasa unaomba ushauri gani?
 
Anajua kuwa wewe muhathirika wa gonjwa letu lile sasa anaona unataka kumuambukiza na yeye.
 
Shida yako hujiamini. Una mawazo ya kijinga sana. Alie kwambia mwanamke anahitaji pesa yako from no where ni nani?

Unapompa pesa mwanamke bila ya yehe kukuomba unamuonyesha kwamba you a desperate, unatamaa fulani, au unadhani yeye ni malaya so anauza. Mwanamke ataona kama una lako jambo...

Mpe hela anapohitaji, sio utume tu from no where.
ACHA UDOMO ZEGE WA KUTANGULIZA HELA UKIDHANI UTAPENDWA..
Hahahahahaha
 
Duh mnavyo laumu utafikiri nimehonga hela nyingi swala nilitaka kujua tu kuna uhusiano gani au yeye huwa anafikilia nini basi (naogopa hata kusema nilihonga bei gani maana ni aibu )
Hahaha!! eti utafikiri nimehonga hela nyingi.
 
Back
Top Bottom