Nini kinasababisha kundi la FB kusimama?

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,166
Reaction score
1,339
Habari za muda huu wakuu, mimi nina group la facebook lenye wanachama 200K ambalo hapo awali kwa siku walikuwa wakijiunga watu 1k lakini siku hizi wamekuwa wakijiunga watu 20 au 30 tu!

Je, ni kinasababisha kupungua kwa idadi ya wanachama kujiunga kwenye group?

Msaada plz!
 
Hilo group lilikua linakusaidia nn mkuu?? Ili nasisi tuanzishe pia
 
Nimekuja Fasta nikijua ni FBI.

Ila tatizo la group kuwa dormant ni nyingi mfano watu wengi hawashei kazi za group kwenda kwingine ili kuvutia wengine kujiunga kundini.

Post za sasa zimejaa viungo (Links) automatically FB kwa sasa post zenye Link haziwafikii wengi na hata zikiwafikia ni wachache sana huoendezwa na chapisho.

Na sababu nyingi
 
Habari za muda huu wakuu, mimi nina group la facebook lenye wanachama 200K ambalo hapo awali kwa siku walikuwa wakijiunga watu 1k lakini siku hizi wamekuwa wakijiunga watu 20 au 30 tu!

Je, ni kinasababisha kupungua kwa idadi ya wanachama kujiunga kwenye group?

Msaada plz!
Swali hili waulize wanaopaswa kujiunga huko
 
Habari za muda huu wakuu, mimi nina group la facebook lenye wanachama 200K ambalo hapo awali kwa siku walikuwa wakijiunga watu 1k lakini siku hizi wamekuwa wakijiunga watu 20 au 30 tu!

Je, ni kinasababisha kupungua kwa idadi ya wanachama kujiunga kwenye group?

Msaada plz!

Facebook ni wapuuzi wanafanya yao ili magrup yasipige hatua wakati mwingine. Wanabana tu kwa makusudi
 
Back
Top Bottom