Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] dah nimecheka mkuu Mungu anakuona!!!
 
Jasnira we ni fire i salute[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] cio kwa mapoint hya kwa kweli HISIA!!ukimaliza!!
 
Labda unakutana na wanawake wa hovyo hovyo hawajui kujiweka usafi lakini ukikutana na mwanamke kamili mbona mwenyewe utalamba unyayo na kunyonya vidole vya miguu...
Ahahahhahaaaaa nimeipenda hii kila mtu anawaza yake jjaman hata kukutana haileti hisia kweli mapenz watayasikia kwa jirani tuu
 
Ahahahhahaaaaa nimeipenda hii kila mtu anawaza yake jjaman hata kukutana haileti hisia kweli mapenz watayasikia kwa jirani tuu
Wanadhania mapenzi ni ujanja ujanja wasifanye masihara na hisia u cant fake it... Hisia ni kitu kikubwa sana mnapokuwa mmependana kweli hisia zinakuja automatically. Lakini kidume anawaza ngono na kijike kinawaza pesa tu. Yaani kila mtu anawaza yake katu hamuwezi kuenjoy sababu hakuna chemistry baina yenu badala ya kufanya mapenzi mnajikuta mnafanya biashara. Mapenzi bila Mahaba ni kazi bure.
 
That's true for beginners..... Kadri mnavyoishi mapenzi yanabadilika... Kutoka kwenye physical attraction and mingling to more psychological approach. Kwa mfano mwanamke aliepevuka atapima mapenzi kwa kuangalia kiasi gani unamheshimu, unamsikiliza,unajali ndugu zake, na mambo kama hayo..... Mwanamme atapendwa kwa vigezo kama hivyo.
 
Asikudanganye mtu hakuna roho kongwe... Ni aina ya mapenzi yenu mtakavyo amua kupendana. Umeona ya michelle na Obama??.. Tatizo linaanza hapo mnapoanza kujifanya mmezoena sana kiasi kwamba yale mlikuwa mnafanya zamani mnaacha. Siku hizi sio ajabu kukuta wapenzi wamekaa pamoja lakini kila mtu yuko busy na simu yake whatsApp.. Hivi kuna raha zaidi ya kuwa karibu na umpendae??.. Trust me ni mapenzi yenu kuamua mnayaendesha vipi?..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…