mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Ile ni show to for political purposes.... Mrs alipotakiwa kutoa maoni juu ya kashfa ya mumewe na Monica Lewinsky Unajua alisemaje? My husband just want to see how ugly they are! Hivi kweli mwanamke anaweza kumruhusu mume wake afunuefunue wanawake kwa kisingizio cha kutaka kuona hao wanawake wengine ni wabaya kiasi gani? Hio alikuwa anampa mume wake political cover. Sikusema kwamba watu wanapogrow-up wanaacha kupendana bali nimesema kuna change in approach! Sawa mama eeh?Asikudanganye mtu hakuna roho kongwe... Ni aina ya mapenzi yenu mtakavyo amua kupendana. Umeona ya michelle na Obama??.. Tatizo linaanza hapo mnapoanza kujifanya mmezoena sana kiasi kwamba yale mlikuwa mnafanya zamani mnaacha. Siku hizi sio ajabu kukuta wapenzi wamekaa pamoja lakini kila mtu yuko busy na simu yake whatsApp.. Hivi kuna raha zaidi ya kuwa karibu na umpendae??.. Trust me ni mapenzi yenu kuamua mnayaendesha vipi?..