Jasnira
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 608
- 382
Kama mwanaume also be romantic basi sio unaleta usela usela wa kipuuzi be a gentleman, slow music kwa mbali it real work..kauli nzuri pia am ur gal not a prostitute so treat me right . Wanaume wengine wana kauli kavu zenye kuboa. Kabla hamjaanza shoo tayari ameshakutibua na kauli zake kavu.