Nini kinakwamisha utekelezaji wa miradi ujenzi wa soko na stendi ya Nyegezi Mwanza?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Imekuwepo Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na kutoeleweka au kuchelewa kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya Jiji la Mwanza ambayo ni Ujenzi wa Soko na Stend ya Mabasi-Nyegezi

Utiaji wa sahani ulikuwa june 2019 na watu kupewa notisi ya kuhama kupisha miradi iyoo july, baadae august 25, 2019 watu wakatangaziwa tena na mkuu wa wilaya kuwa yapasa kupisha ujenzi huo ifkapo sept 5 2019, Leo tarehe 25 Sept 2019, hakuna kinachoendlea.

Je, Tatizo ni nini...? Serikali..? Watanzania...? Mkandarasi...?
Karibuni kwa Maonii......
 
Back
Top Bottom