Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ukiwa njer ya nyumb ila ukiwa ndani onyesha utundusi mchungaji kasema tujistiri jamni😅
Ukiwa njer ya nyumb ila ukiwa ndani onyesha utundusi mchungaji kasema tujistiri jamni😅
Sauwaaa mahii😁Ndio mamaa tusije tukazua taharuki 😝😝😝
Kaka ako yuko wapi DR?Ukiwa njer ya nyumb ila ukiwa ndani onyesha utundu
Hapo mguno utasikia mtu akijigonga kidole cha mguu kwenye kona ya kitandakibamia na huna hela, mguno utaisikia tu eti?
Madogo hawaogopi ngoma kabisa , miaka 22 tu mtu kashawaka watt 100
Form three art one broForm three ya kuwapa vijana nyonyoo au
Leo juma pili yupo kanisaniKaka ako yuko wapi DR?
Sasa hapo huoni kua nyie ndio mlikua wa moto kwa umalayer ?Shida ni kwamba Gen-Z wengi hawakuuona ule moto wenyewe kama ya mashudu kuja around 2003 hivi. 😊
Tekeri anaendaga kanisani🤣🤣Leo juma pili yupo kanisani
Labda art ya mauno feniForm three art one bro
Sasa hapo huoni kua nyie ndio mlikua wa moto kwa umalayer ?
Usiamini sana comment mkuu watu sio ma fala
Hatuwezi kua serious mda wote
Usipige kelele....😋Kwenye miti hakuna wajenzi
Haya mtafiti so tunao comment wote malaya na tutapata ukimwi au tayali tunao?🙌🙌Siku hizi ndio umalaya umeongezeka mara dufu, longtime kupata demu ilikuwa kazi sana. Siamini comment, naongea hali halisi kitaani.
SubuthuuuuUsipige kelele....😋View attachment 3617510
harufu kali ya feri inayotoka kwenye samaki yenyewe na kwenye mfreji wa maji taka hua ni changamoto kubwa mno ya kukata stimu katika harakati za kufikia kilele cha mafanikio ya unyanduzi kwa furaha na bila karaha,Angalizo kwa watakatifu sitaki mnifokee maana nina nyuzi kibao za maisha na za mijadala ya kijami siwaoni ila hapa mtaanza ooh unapenda ngono
Kwenye jukwaa la chit chat kuna uzi unaitwa JF diary nimeweka nyuzi zangu nyingiiii kama unavutiwa kusoma maandiko yangu ila hili hakikubariki tafadhari tembelea huo uzi na uchague uzi mmoja utakaokuvutia usome kila la kheri🙏🙏
Twende nalooo sasa 👇
Ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au ukiona kwa mpenzi wako ukiwa kwa bed vinakukata stim
Au ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au kuona kwa bebe wako mizuka inapandaa midadii inakua on yaan 🔥
Watu wengi huona au kufanyiwa vitu vinavyowakera na wanashindwa kusema kuogopa bebe atachukia au atajisikia vibaya
Maana mwingine akiambia badala achukulie positive ana panic na kususa juu
Na wewe ukiangalia upo in love unajikaza kisabuni huku unaungua moyoni huna raha wala fur aha
Ni nini kinakukata stim pale mjini 6*6
Nini kinakupa mizuka pale mjini 6*6
Una ujasiri wa kumwambia mpenzi wako
Kama kuna kitu hakikufurahishi?
Au ni kama samaki na maji mdomoni😜
NB: #Kulombana sio anasa
Lombana kwa faida kede kede zipatikanazo ndani ya tendo hilo
ShesRise_1 🤚
Haya mtafiti so tunao comment wote malaya na tutapata ukimwi au tayali tunao?🙌🙌
Ngono imerahishwa sana , madogo wanawekana wa fujo , dogo wa 2007 , unaogelea kama dagaa kwenye mtoShida ni kwamba Gen-Z wengi hawakuuona ule moto wenyewe kama ya mashudu kuja around 2003 hivi. 😊
Hehehe 🤣🤣🤣 ilikuta wapi hii mdauharufu kali ya feri inayotoka kwenye samaki yenyewe na kwenye mfreji wa maji taka hua ni changamoto kubwa mno kukata stimu katika harakati za kufikia kilele cha mafanikio ya unyanduzi kwa furaha na bila karaha,
Sijui nacheka nini Unaweka akiba ya maneno 🤣🤣🤣but kibabe na kwa mbinde zaidi tunaweza kuhitimisha round na kisha kusingizia dharura ili kutoa majeshi kutoka kwenye uwanja wa vita bila taharuki au kumkwaza muhusika. Huwezi jua anaweza kukusitiri tena mbeleni.
Mda wa kupakua minyama 🐒kuna mikao ya kijuba hua inachochea na kupandisha mizuka mno, kiasi kwamba hupelekea baadhi ya midume yenye changamoto za kiafya kupoteza hata maisha kabisa.Nitaitaja wakati muafaka 🐒