To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,441
- 38,590
🤭wee,usiniambie….ngoja nikaslimu wajameni😍Seran ni Dada yangu acha wivu,mimi ni wewe na wewe ni mimi mpaka kifo kitutenganishe.
🤭wee,usiniambie….ngoja nikaslimu wajameni😍Seran ni Dada yangu acha wivu,mimi ni wewe na wewe ni mimi mpaka kifo kitutenganishe.
Tulia basi usije ukanirushia ndege wangu.mbona unajipa ushindi mwanetu? tulia kwanza🤣
Dah aisee basi sina la kusema tena🤣 huyu nipo naye muda huu,baadae anakuwa na Seran.Muda mwingine ananipa kazi nimtafutie wa kuoa…hivyo don’t trust this moment chatting 🤣🤣
sijambo babu, umepoteaMarahaba mjukuu, hujambo?
nimekoma 🤣Tulia basi usije ukanirushia ndege wangu.
huu sasa uchawi 🤣🤣🤣🤣Unanusa chupi yake pale katikati halafu unavuta pumzi nyingi unanyanyua pua juu na kuzungusha kichwa pande zote kuu za dunia
Hapana mbona nipo sana tu! Huenda ukiona kivulì changu unapita mbio!sijambo babu, umepotea
hapana babu sijawahi kufikilia kufanya hivyo kabisaHapana mbona nipo sana tu! Huenda ukiona kivulì changu unapita mbio!
Kho koh koh .......... hiyo kiko na ije tu mjukuu 🏃♂️🏃♂️Ningeweza na kuna faida mbili mjukuu akifika unagudua msuli kwa juu tu 🤣🤣
Nilishindwa pia hapa,sababu ya ukosefu wa nauli ya ✈️Dah aisee basi sina la kusema tena
Nipo nae PM tunapanga mambo yetu,nimekoma 🤣
Nipo form three broHapa kuna wanafunzi kweli? Kina Evelyn Salt ERoni The Icebreaker Grahams
Na wengine wengi... Wanafunzi hao? Hebu wachaga matani baasi😂
🤣🤣🤣🙌🏾Nipo nae PM tunapanga mambo yetu,
Mwaka huu wenye wivu limewafika.
Mwambie sisi wazee tukikasirika tunaweza kumpa lazi kabisa 😜Hapa kuna wanafunzi kweli? Kina Evelyn Salt ERoni The Icebreaker Grahams
Na wengine wengi... Wanafunzi hao? Hebu wachaga matani baasi😂
Mpenzi umekula?🤣🤣🤣🙌🏾
Hata siyo uchawi,ni ile hali ya mapokeo ya kukutana na harufu asili ya papuchi yenyewe mkuu win-onehuu sasa uchawi 🤣🤣🤣🤣
Koh kohKho koh koh .......... hiyo kiko na ije tu mjukuu 🏃♂️🏃♂️
una nichamba ice 😏 au nikuchome? nitamwambia ukweli kwamba mimi na wew ni wapenzi wa siri ohooooo😅😅 we endelea kunirusha roho uone kama sija haribuNipo nae PM tunapanga mambo yetu,
Mwaka huu wenye wivu limewafika.
😅😅Location yenyewe kasheshe 😁😁
Form three ya kuwapa vijana nyonyoo auNipo form three bro