The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,499
- 122,851
Mimi sio kijana.Hawa vijana,kuna muda inabidi kuwapunguzia muda wa kujieleza sana 😋
Mimi sio kijana.Hawa vijana,kuna muda inabidi kuwapunguzia muda wa kujieleza sana 😋
MWe mzee mzinifu sana, ila Nisha kwambia kwa Seran upige stoop
Mpaka hapo nimesha shinda kwa asilimia 50@icebreaker na hapa ushindwe🤣🤣
Marahaba mjukuu, hujambo?shikamoo 🙂
Unanusa chupi yake pale katikati halafu unavuta pumzi nyingi unanyanyua pua juu na kuzungusha kichwa pande zote kuu za duniaunakuwa kama beberu.
Babu mie sitii neno nitakuunga mkono popote uendakoNilishakuambia, Seran wamempa airtime hadi nimeona mmh, nitaongea na mjukuu wangu ShesRise_1 anishauri babu yake nini cha kufanya.
M
😅😅😅😅😅😅Unanusa chupi yake pale katikati halafu unavuta pumzi nyingi unanyanyua pua juu na kuzungusha kichwa pande zote kuu za dunia
Airtime si kwa sababu yenu nyie wazee wasumbufu, pambana nae huuyo niachie seranNilishakuambia, Seran wamempa airtime hadi nimeona mmh, nitaongea na mjukuu wangu ShesRise_1 anishauri babu yake nini cha kufanya.
M
🤣 huyu nipo naye muda huu,baadae anakuwa na Seran.Muda mwingine ananipa kazi nimtafutie wa kuoa…hivyo don’t trust this moment chatting 🤣🤣The Icebreaker To yeye please fanya kitu kwa huyu kaka angu🥹
Mkuu ukaguzi wote huo kwani unataka kuondoka nayo?Unanusa chupi yake pale katikati halafu unavuta pumzi nyingi unanyanyua pua juu na kuzungusha kichwa pande zote kuu za dunia
Huu mjadala naomba tuufunge, jambo limeisha mjukuu😅Babu mie sitii neno nitakuunga mkono popote uendako
🤣Hii kweli upo serious nayo,Mara ya pili hii unaikataaMimi sio kijana.
Sawa babuu kwa heshima 🥰Huu mjadala naomba tuufunge, jambo limeisha mjukuu😅
Ndiyo huwa ni tatizo ila sasa wahusika/mhusika wenye tatizo unakuta hajijui kama ana tatizo na ukimwambia balaa lake sasa!!HeheheHospital haraka hilo tatizo
mbona unajipa ushindi mwanetu? tulia kwanza🤣Mpaka hapo nimesha shinda kwa asilimia 50
Yupo serious usimtese please 🙏🤣Hii kweli upo serious nayo,Mara ya pili hii unaikataa
Seran ni Dada yangu acha wivu,mimi ni wewe na wewe ni mimi mpaka kifo kitutenganishe.🤣 huyu nipo naye muda huu,baadae anakuwa na Seran.Muda mwingine ananipa kazi nimtafutie wa kuoa…hivyo don’t trust this moment chatting 🤣🤣
Hata kwenye uzi ukisoma nimesema ila ndio hivyo unaenda nae mdogo mdogoNdiyo huwa ni tatizo ila sasa wahusika/mhusika wenye tatizo unakuta hajijui kama ana tatizo na ukimwambia balaa lake sasa!!Hehehe