NINI KINAENDELEA PM BET

NINI KINAENDELEA PM BET

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,123
Reaction score
3,600
Ni masaa 24 sasa tangu nimetoa hela kupitia mtandao wa YAS cha ajabu hiyo hela haijafika mpaka sasa ukipiga simu wanajichanganya tu.

Wanakiri kulikua na shida upande wa mifumo yao.. baadae wakasema washarekebisha kila kitu kiko sawa, nkawacheki tena wanasema kuna shida.

Nimebaki njia panda hela naihitaji sanaaaa
 
Bei gani, Kuna mtu alilalamika Kuna kampuni haijamlipa Mil kadhaa
 
Punguzeni kulia lia hela kidogo tu haijaingia kwenye account tayari umeanzisha uzi ,, kampuni za betting hutumia mifumo ambapo inahitaji kampuni yako ya simu iruhusu pesa iingie kwao halafu wao wanakuwekea digit kwenye account yako mfumo kwa kawaida unaweza kukumbwa na hitilafu muda wowote. Hakuna uzembe hapo tena wanafanya kila wawezalo hela yako iingie kwenye account waipige kihalali. Nakutoa pesa ni hivyo hivyo kama mifumo ikizingua kwao au kwa kampumi yako ya simu inaweza kuchelewesha
 
Back
Top Bottom