Nini kinaendelea msimbazi?

Nini kinaendelea msimbazi?

ngwere96

Member
Joined
May 16, 2019
Posts
44
Reaction score
16
Habari wana jamii forum...
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza nini kinachoendelea msimbazi maana MAFUMBO MENGI KUTOKA PANDE MBALI MBALI...
 
kuwa mswahili kazi sana. majitu majinga majinga ndio yamejazana kwenye hizi timu.
 
"E="GAZETI, post: 32056175, member: 37963"]
Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli.
[/QUOTE]" "ziwe" au zisiwe?
 
Ewe mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo.
Inusuru simba sports club na maadui wasio itakia mema club yetu ya simba.
 
Mimi nawadha kwa sauti tu hawa wazee wanazani mpira siku hizi unaendeshwa na matunguli si watangulie tu mbele za haki! Wanaathari mbaka Taifa stars, kwa mambo yao. Wapewe hela wapunzike au waachie vijana wa kileo.
 
Na saa Saba imepita Kama upepo
Saa saba!
Screenshot_20190704-141036.jpeg
 
Back
Top Bottom