Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

Nnavyojua michoro ilibadilika,kwa kutumia mchoro wa kwanza wenye ghorofa tatu mkadarasi alikua amekamilisha Kazi kubwa ya awali,kwa bahari mabaya ilikuja kugundulika hela isingepatika ya kukamilisha ghorofa tatu hivyo kuamriwa kwanza upya tena..mchoro wa kwanza ulikua mpka na round about juu...kwa hiyo kikubwa kilichokwamisha ni kubadilika kwa michoro,na ukosefu wa pesa.

Mbona tunaambiwa serikali ina hela nyingi sana
 
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali
World Bank wamesema hawatatoa hela kufuatia bomoabomoa ya kikatili iliyofanyika Mbezi. Wamegoma. Ndiyo maana unaona hata kubomoa jengo la TANESCO tu imeshindikana.
 
Kuna article niliiona IPPMEDIA ambayo inaonyesha kama walikurupuka kwenye maamuzi na kusahau mambo ya msingi lakini kama alivyosema Saint Ivuga nadhani hakuna pesa sasa wanaficha ukweli. Nitaitafuta nikiipata nitaweka hapa.

Govt explains why Ubungo flyover project has stalled
Hapa ndipo huwa tuna pishana, mkuu BAK. Ukweli unaujua kabisa, tatizo ni unforeseeable challenges (relocation of Ubungo gas pipe, management of heavily traffic during construction), lakini na wewe unasisitiza unapotosha eti kama Ivuga alivyosema hawana ela? Jamanii ! Hata hivyo na mimi nitajitahidi ku'counter' upotoshaji huu na wa wengine kadri nitakavyokuwa nafanikiwa kuunasa.

Tuendelee mdogo mdogo.
 
World Bank wamesema hawatatoa hela kufuatia bomoabomoa ya kikatili iliyofanyika Mbezi. Wamegoma. Ndiyo maana unaona hata kubomoa jengo la TANESCO tu imeshindikana.
Hivi kuboa jengo la Tanesco kumeshindikana au wewe huna taarifa sahihi?
 
Back
Top Bottom