Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .
Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Ma-snitch tls wamewaambia Word Bank wailipe kumkomoa Raisi wetu!