Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,590
Reaction score
8,718
Karibu mwaka mmoja tangu mradi wa Ubungo Interchange uanze, hadi sasa hakuna kazi ya maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa haijakamilika .

Contractor wa kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.

Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
 
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .

Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.

Hata TAZARA hali ilikuwa hii hii. Labda wanasubiri equipments zifike toka China
 
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .

Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.

Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Ghorofa la Tanesco wameshabomoa?
 
Nnavyojua michoro ilibadilika,kwa kutumia mchoro wa kwanza wenye ghorofa tatu mkadarasi alikua amekamilisha Kazi kubwa ya awali,kwa bahari mabaya ilikuja kugundulika hela isingepatika ya kukamilisha ghorofa tatu hivyo kuamriwa kwanza upya tena..mchoro wa kwanza ulikua mpka na round about juu...kwa hiyo kikubwa kilichokwamisha ni kubadilika kwa michoro,na ukosefu wa pesa.
 
Mbona hawasemi?
 
Hiyo stand ya ubungo yenyewe walibomoa toka 2012 hadi leo hamna kitu kinachoendelea zaidi ya abiria kuteseka tu miaka yote hii.. sembuse hii interchange waliyobomoa bomoa juzi? by the way, nimesikia imebadilika kutoka interchange na sasa ni kitu kama pale TAZARA ndo kitajengwa
 
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .

Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.

Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Hahahaha mwaka huu hamna pakushika? Hivi unafikiri kazi ya kuhamisha yale mabomba ya maji ni kazi ya nani? Hahaha tunajua mgependa kusikia kila mradi umekwama hahahaha lakini hilo halipo kamwe....unafikiri zile barabara za juu zinatengenezewa pale bara barani? Endeleeni kuota....
 
Kuna article niliiona IPPMEDIA ambayo inaonyesha kama walikurupuka kwenye maamuzi na kusahau mambo ya msingi lakini kama alivyosema Saint Ivuga nadhani hakuna pesa sasa wanaficha ukweli. Nitaitafuta nikiipata nitaweka hapa.

https://www.ippmedia.com/en/news/govt-explains-why-ubungo-flyover-project-has-stalled

Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .

Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.

Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
 
Hahahaha mwaka huu hamna pakushika? Hivi unafikiri kazi ya kuhamisha yale mabomba ya maji ni kazi ya nani? Hahaha tunajua mgependa kusikia kila mradi umekwama hahahaha lakini hilo halipo kamwe....unafikiri zile barabara za juu zinatengenezewa pale bara barani? Endeleeni kuota....

Hivi kwa akili yako unafikiri watu kuuliza mradi ndio wanafurahia ? Ili iweje kwa mfano!? Tusiulize na kila anayeuliza hatutakii mema au mwenzetu unafaidika nini ?

Tunauliza Kwa sababu alizundua akitaka kazi ikamilike Ndani ya miaka miwili na nusu Saasa kama mwaka umepita na site clearance yenyewe ndio hivyo tuseme Huo muda uliobaki watafanyaje mazingaombwe
 
Back
Top Bottom