Nini kinaendelea kwenye mbolea ya ruzuku?

Kyara Atufigwe

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
120
Reaction score
68
Habari wana jamvi,

Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini.

Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili.

Wadau tupeane mrejesho, nini kinaendelea mikoani kuhusu zoezi hili na changamoto zinazojitokeza.
 
kauli nyingi za viongozi wetu ni za kisiasa hazina tija.
 
Habari wana jamvi,

Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini.

Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili.

Wadau tupeane mrejesho, nini kinaendelea mikoani kuhusu zoezi hili na changamoto zinazojitokeza.
Wakulima tunalamba asali wafanyakazi mtajibeba.
 
Wanasajili wakulima, Ili kuingia kwenye mpango wa ruzuku,
Mimi mwenyewe nimejiandikisha.
Kwa kawaida utaratibu huu uanzia kwenye ofisi ya mtendaji, serikali ya mtaaa
 
Habari wana jamvi,

Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini.

Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili.

Wadau tupeane mrejesho, nini kinaendelea mikoani kuhusu zoezi hili na changamoto zinazojitokeza.
Kinachoendelea kwenye maeneo baadhi ni vigezo ambavxo waziri hakuvisema.Watu wanaambiwa wawe na laini za voda,wapigwe picha.Tunamuomba mh waziri atowe tamko sasa.
 
Wanasajili wakulima, Ili kuingia kwenye mpango wa ruzuku,
Mimi mwenyewe nimejiandikisha.
Kwa kawaida utaratibu huu uanzia kwenye ofisi ya mtendaji, serikali ya mtaaa
Ni jambo jema. Ni vema baada ya hatua hii Wizara iharakishe mchakato ili kuuwahi msimu wa kilimo
 
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali

Choni Mnyangu
 
Back
Top Bottom