M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 1,910 Reaction score 5,455 Sep 18, 2025 #1 Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 7,946 Reaction score 15,702 Sep 18, 2025 #2 Kaa hukohuko....