Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani singida atujuze.
Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Serehe za maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani singida, na wari mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Serehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kaniasa huko singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Rosali ndiyo Mungu?Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani singida atujuze.
Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Serehe za maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani singida, na wari mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Serehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kaniasa huko singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Unaikiheshimu chombo baadala aliyetengeneza chombo?Hata Musa na Joshua walitumiwa na Mungu Kama vyombo vya kusafirisha Waisrael kuelekea nchi ya ahadi kwa hiyo waisrael walimsikiliza Musa anD Joshua. Bikira maria alitumika nal Mungu Kama Chombo cha kumzaa Yesu na sis hatuna budi kumheshimu bikira Maria Kama chombo kitakatifu kilichotumiwa na Mungu.
Unaikiheshimu chombo baadala aliyetengeneza chombo?
Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Ninajua sana hata nilitaka niwe Padre niingie Seminary.Unamfundisha padre kusali na kumfahamu Mungu?? Pole sana kwakuwa hufahamu rozari ni kitu gani.
hahahaa,,Kuku wa kienyeji wa Singida ni watumu sana. Karibuni tena ambao hatujafanyiwa tohara!