Nini Kinachoendelea IMF na World Bank?

Hivi serikali hii ya awamu ya tano inajenga uchumi imara na usio tegemezi,? kwa hiyo mikopo au? I think wanaccm mnaishi Tanzania ya tofauti na sisi otherwise tutakuwa tunaishi na wendawazimu
 
Hujielewi wewe, post yako ya kwanza imeiweka ktk namna inayoonyesha IMF na WB zinafanya kazi kwa kujitegemea alafu unaweka kithibitisho ambacho heading tu inamaanisha wote ni ma puppets
 
Unajua jamaa yangu huwa kuna mahala napata taabu sana kujadili maada kama hizi.

Unaweza kuwakwepa IMF na World bank kama toka uhuru unakopa kwao na bado wanakudai na bado unahitaji misaada yao na misaada ya wanachama wao, ukipata maafa kama mafuriko, njaa, milipuko ya magonjwa nk unahitaji misaada toka kwao. Madeni yakikuzidi unaenda kuomba wakusamehe madeni, miradi kibao ya kijamii unahitaji waje wakusaidie, bajeti yako zaidi ya 40% inatoka kwao... Hao IMF na World bank ukumbuke ni moja ya organs za UN na watoa michango mikubwa huko na hela zao ndio tunawaita wadau wetu waendeleo..

Njia pekee ya kuwakwepa IMF na World bank ni kujitegemea kwa kila kitu na kutoomba msaada kwao na kwa wanachama wao au wanaombatana nao. Tukipata Maafa yoyote tujiokoe na kujisaidia wenyewe na resources zetu, madawa either tununue kwa hela zetu au tutengeneze wenyewe.. IMF na World bank sidhani kama watakufuata fuata kama wewe unajitegemea na huwafuati fuati..
 
Wala shida si IMF Wala WB,Wala hizo blabla zenu na articles uchwara,Tatizo ni awamu ya tano,kila tukio linawekwa live au kutolewa press release na ikulu tena likiwa na uongo mwiiiingiii? eti rais kupigia simu na chancellor wa ujerumani nayo ni issue kwa awamu hii? Du kweli tumepatwa
 
Mwingine anakufadhili mwingine anakuppnda
Rafiki kwa comment zote hizi umeshindwa kuelewa?

Labda umeelewa ila ni ngumu kuukubali ukweli na kama hujaelewa basi mkuu utakua na kichwa kigumu sana ktk kudadavua na kuelewa mambo.
 
Nchi ishakwenda mrama hii hakuna jpya kwa bwana yule
 
Najua wewe chizi hukwenda shule hiyo article huwezi kuielewa labda baba yako akurudishe shule

Ni hivi, serekali yetu inapika data za uchumi ili kutaka kuhadaa umma kama rais wetu anafanya vizuri. Ukweli huo uko wazi. Hizo hela unaposema waziri Mpango amesaini world Bank alisema anazipata lini? Hao World Bank si ndio walizuia $300m ili kurekebisha sheria yetu kuhusu mabinti wa shule waliopata mimba? Hapa jukwaani sio huko vijijini mnakodanganya wakulima.
 
Huyo baba yako jiwe mwenyewe hana la kufanya zaidi ya kufyata mkia kwa IMF.
Uchumi wa dunia hii upo monitoring na IMF sisi watanzania hatuna la kubisha zaidi ya kujitumbukiza kwenye economic crisis
 
Msiwafuate Kama mna uwezo, mnaenda kuomba harafu unaleta jeuri, ukiomba ni lazima ukubali masharti ya uliyemwomba. Ombaomba unapanga eti nipeni hela za noti, pumbv, Ombaomba kubali masharti
 
Reactions: BAK
IMF and World Bank Group are two sides of the same coin. The former is European; and the latter is American.
 
Weka namba sim kabisa mkubwa
 
Huyo magufuri ni jizi mkubwa.. wizara nyeti zote zipo chini yake na hataki kukaguliwa... Bonge la jambazi hastahili ata kuchekewa
 
Natamani niandike juu ya hili!! Wengi wanafata mikumbo ya wanasiasa tu! Nasubiri waongee alafu nitaandika!
 
Sasa imf hutaki lakini China mnawapa bure kabisa ikiwemo gas na mafuta !! [emoji87]

Hakuna kitu hapo mkuu
 
Wewe huna akili kabisa
 
IMF wametoa taarifa yao kwa mujibu wa taratibu, Serikali nayo ijibu basi....
Tatizo liko wapi? Ulitoka watoe mikopo kwa statistics za uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…