Nini kimeyakumba mabasi ya mwendokasi

Nini kimeyakumba mabasi ya mwendokasi

Hapo inabidi makampuni hata matatu ili wakabiliane na hii zahma
Na pia kwa mjini wangeweka Trams ambazo zipo miji mingi duniani lakini sio kama train tunazoziona kwetu
Mwendokasi imefeli
Na hii ni Tram
20190409_212052.jpg

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna msemo usemao awezacho kwa bidii mswahili ni mazoezi ya kitandani. Kama tu kujiongoza tumeshindwa Miaka 60 ya Uhuru bado watu wanaishi kwenye nyumba za tope na nyasi utadhani misukule ndo tutaweza endesha miradi?.Huyu bwana anarudia makosa aliyofanya Nyerere ya kumonopolize kila kitu hela zote ziingie kwake,atafail miradi yote waswahili wataiua watatafuna watalamba kama enzi za ticha.Ilitakiwa angeandaa mazingira ya kukuza private sector imsaidie kodi na kutatua ttzo la ajira.
 
Duh, hapo ndio Robert Kisena amelifikisha Mwendokasi, kaipora kwa wizi wizi, sasa ana case sijui yuko ndani au wapi..!! Serikali ichukue 100% ya hii mwendokasi iweke watu very serious kusimamia kama mm Jay One..!!

Yule msukuma ni kanjanja Fulani hivi wa town,wanaamini kwenye kupuliza kuliko kutumia akili
 
Mwafrika anaweza kujitawala katika maneno yake,lkn kujisimamia ni tatizo.
Miundo mbinu ya mwendokasi ni rafiki sana kwa sababu kuna mkono wa mzungu,uendeshaji wa mradi ndiyo tatizo kuu.
Wala hakuna jipya hapo,tulikuwa na UDA sijui kaburi lake liko wapi.
Tulikuwa na TTC,ATC,RTCs,KAMATA,TRC,TAZARA,na makampuni mengine ya uma,yote yako kaburi.
Serikali haiwezi kufanya biashara.
Mh Magu hakushauriwa vizuri. Kazi ya serikali si kufanya biashara,ni kuendesha serikali kwa kuweka miundo mbinu rafiki na kujiendesha kwa kutoza kodi. Biashara waachiwe wafanya biashara.
Kwa sasa hawa ndugu hawaelewi,basi waangalie hata historia ya makampuni ya uma niliyoyataja.
Mi naangalia tu jinsi hiyo reli ya kisasa wanayoijenga,itakapokamilika! Wataiendeshaje? Ili hali hawana uwezo wa kuiendesha?
Itakufa kifo cha kawaida kama vifo vya mashirika na makampuni yaliyotangulia.
Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Anarudia makosa ya Nyerere lzm atafail by expirience cheki ndege zimerundikana lengo ilikuwa ziingize hela zimekuwa ni mapambo serikali haiwezi Fanya biashara, Bali uandaa mazingira
 
Ishu rahisi kuwa na mabasi full ac level seat nauli 2500/= yafidie gharama

Halafu ya kubanana nauli 650.

Hakuna mashetani wenye kumudu nauli ya 2500,kwa mshahara huu usiofikia hata posho ya siku ya mbunge anaenda kusinzinzia
 
Duh, hapo ndio Robert Kisena amelifikisha Mwendokasi, kaipora kwa wizi wizi, sasa ana case sijui yuko ndani au wapi..!! Serikali ichukue 100% ya hii mwendokasi iweke watu very serious kusimamia kama mm Jay One..!!
Yuko na fundi wake wa kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kua suluhisho la tatizo la Usafiri hapa Jijini .Mwendokasi imekuwa Ni MwendoShida kwa kweli.Ni iombe mamlaka inayo Shughurikia Usafiri huu hapa jijini Wajipange upya kwani kumekua na matatizo makubwa sana kwenye Usafiri huu.Kwanza ni mabasi kujaza abiria kupita kiasi .(2) Ni waombe waondoe utaratibu wa Express.kwani huu utaratibu huu umekuwa Ni mwanya kwa madereva wa mabasi haya kupita vituo vidogo hata kama yapo tupu na wakati kwenye vituo hivyo wapo abiria .(3),Kwenye mabasi haya pale malangoni kuna eneo limeandikwa si ruhusa kusimama hapa.lakini eneo hilo utakuta wame simama Watu zaidi ya Kumi.kwa maana hiyo kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria kwenye mabasi haya(4)Vifaa Vingi katika mabasi haya kwa sasa havitumiki ipasavyo kama Vipaza sauti madereva awavitumii kabisa na hata yule dada anesema kituo kinachofata siku hizi asikiki zaidi ya Siku kama Simba Sc inacheza ndio utawasikia washabiki wa timu hiyo wakisema huko mitaani .(5)Vituoni kumekuwa na uvujaji mkubwa wa mapato .na haswa huu mtindo wa ukinunua tiketi na kuchanwa pale na wale wahudumu pale kwenye kigeti cha mwisho .sasa awa Wahudumu sio malaika tiketi zingine azichanwi matokeo yake zinarudi dirishani kuuzwa tena .(6) ni dhuruma tuliyo fanyiwa sisi tuliouziwa kadi .sasa kadi hizi aziwezi kununua huduma matokeo yake zimekuwa ni mapambo kwenye Waleti zetu na kwenye mikoba .tuwaombe wafanye mpango wachukue kadi zao wazipeleke jumba la makumbusho.Na Mwisho kabisa ni lugha mbaya kwa wahudumu wa Vituoni unapotoa Noti ya shilingi Elfu kumi au tano.Utazania Umetoa pesa ya kuzimu kwa maneno utakayotolewa na muhudumu .matokeo yake utangandishwa pale mpaka chenji ipatikane .Kusema kweli kuna mambo mengi sana kwenye Usafiri huu wa Mwendo Shida mwendo tabu .niwaombe askari wa Usalama barabarani waanze kukagua haya mabasi waone uvunjifu wa sheria kwenye mabasi haya .ni vizuri kuzuia kuliko kutibu.Asante naomba kuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, hapo ndio Robert Kisena amelifikisha Mwendokasi, kaipora kwa wizi wizi, sasa ana case sijui yuko ndani au wapi..!! Serikali ichukue 100% ya hii mwendokasi iweke watu very serious kusimamia kama mm Jay One..!!
Wakati wakina kubenea na mnyika wanapaza sauti mlikuwa mnamtetea kisena nyinyi..toka zako hapa
 
Mwafrika anaweza kujitawala katika maneno yake,lkn kujisimamia ni tatizo.
Miundo mbinu ya mwendokasi ni rafiki sana kwa sababu kuna mkono wa mzungu,uendeshaji wa mradi ndiyo tatizo kuu.
Wala hakuna jipya hapo,tulikuwa na UDA sijui kaburi lake liko wapi.
Tulikuwa na TTC,ATC,RTCs,KAMATA,TRC,TAZARA,na makampuni mengine ya uma,yote yako kaburi.
Serikali haiwezi kufanya biashara.
Mh Magu hakushauriwa vizuri. Kazi ya serikali si kufanya biashara,ni kuendesha serikali kwa kuweka miundo mbinu rafiki na kujiendesha kwa kutoza kodi. Biashara waachiwe wafanya biashara.
Kwa sasa hawa ndugu hawaelewi,basi waangalie hata historia ya makampuni ya uma niliyoyataja.
Mi naangalia tu jinsi hiyo reli ya kisasa wanayoijenga,itakapokamilika! Wataiendeshaje? Ili hali hawana uwezo wa kuiendesha?
Itakufa kifo cha kawaida kama vifo vya mashirika na makampuni yaliyotangulia.
Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba. Kama hujui vitu kaa kimya. Nchi zote zilizoendelea Public Transport ni mali ya umma na inaendeshwa na mashirika ya umma. England Amerika, Germany, Japan hata Ufaransa kote ni hivyo hivyo na ndiyo maana inaitwa Public Transport.

Ukichukua nchi kama ujerumani Railway system (Deutsche Bahn) yao asilimia kubwa iko mikononi mwa serikali na inaendeshwa vizuri tu. Jiulize kwa nini wao waweze lakini sisi tushindwe? Kubali kuwa sisi bado tuko katika stage ya unyama. Hatuja kamilika kuitwa binadam. Binadam hujifunza na kuzingatia yale aliyo jifunza. Lakini sisi ngozi nyeusi sijui kama tunastahili kuwa na sifa za kuitwa binadam hasa ukizingatia watu wengine kama wewe wenye fikra ambazo ni za kuihaibisha humanity.

Unaandika mambo ambayo unadhani unayajua kumbe ni pumba tu. Nenda Ulaya na Amerika ukaone jinsi gani miradi ya umma inaendeshwa na serikali zao, badala ya kupayuka payuka kauli zisizo zieleqa undani wake.

Acha tabia ya kuwapumbaza watu wengine. Kama wewe mshamba wa kuelewa vitu basi endelea kubaki na ushamba wako. Usidhani wengine wote nao wako kama wewe. Huo ni ufalah kuandika uzushi wa mambo usiyo yajua na kuilaumu serikali ambayo inajitahidi kwa hali na mali kuweka manzingira ya wananchi wake katika hali nzuri na wakati huo huo kudumisha usalama wetu.

Nchi nyingi za Ulaya zina historia ndefu sana kiutawala kwani wana Experience kubwa sana ya maisha , wakati nchi nyingi za kiafrika ikiwemo Tanzania bado ni nchi changa. Miaka takribani 55 toka tupate Uhuru na kujitegemea wenyewe ni mda mfupi sana wa kuweza kuanza kupanua wigo wa maisha yetu. Tuko katika process.

Nyie kama bado ni wanyama na mna akili za kinyama basi endeleeni kubaki wanyama. Hamwezi kila matatizo ambayo yanasababishwa na wazembe, makupe na wapenda utajiri wa dezo mkailaumu serikali. Serikali nimejitahidi sana tena kuukamilisha huu mradi, kwani ulikuwa una sua sua tu katika awamu zilizopita, lakini kama mit ambaye anajali shida zenu nyie bado mnalalamika.

Kwa mtu mwenye akili timamu angewapa lawama watu walio pewa mamlaka ya kusimamia na kuendesha huo mradi na sio kiongozi wa serikali kuu.

Naomba nikuulize swali moja; Mtoto ambaye wazazi wake wanamjali na kumpeleka shule na asipofanya vizuri huko shuleni, utawalaum wazazi wake?

Serikali kuu haiwezi kwepa lawama za kushindwa huu mradi.
 
Tatizo siyo mapato hayo mabasi ni injini kubwa, gharama ya uendeshaji iko juu, kama unazani utani mwambie Abood aweke bus zake za Dar Moro kwenye route ya mwendo kasi hafu nauli afanye 650Tsh kama atakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio gharama bali aliepewa deal la kuendesha hana nguvu ya kuifanya hiyo kazi.Wameshindwa kuweka basi za kutosha pamoja na mfumo bora wa ununuzi wa ticket .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom