Kuna option ya kurudi kwenye mwonekano wa old site. Ila hizo ni mbwembwe tu, hauoni hata jf nao wanabadilisha mwonekano. Naona forums zinaupdate UX/UI zao. Ila nmependa ile feature yao ya kuchora vi ua fln hv ukiwa una hover mouse yako kwenye webpage yao, it's very amaizingSijaingia stackoverflow tangu juzi sasa leo nimeingia nimekuta ma rangi rangi ya ajabu hadi nikahisi nimeingia kwenye site tofauti,Nimejaribu kuchek acount yangu naona ipo sawa. Sasa emu wadau wenye taarifa zaidi tujuzane hizi rangi ni za nini au zinamaana gani?
View attachment 1060383
Daaah, kweli tunapishana!!! Mi nimeona inaniboa saana. Sijapenda kabisa hayo mabadiliko, unless yawe ya leo tu.Kuna option ya kurudi kwenye mwonekano wa old site. Ila hizo ni mbwembwe tu, hauoni hata jf nao wanabadilisha mwonekano. Naona forums zinaupdate UX/UI zao. Ila nmependa ile feature yao ya kuchora vi ua fln hv ukiwa una hover mouse yako kwenye webpage yao, it's very amaizing
Haaaaahaaaaa.Ndugu Dp800, leo tuliamua kuondoa shelfs zote kwaajili ya kupiga rangi.
Tunashukuru zoezi limeenda vizuri na kukamilika kwa wakati.
Asante na karibu tena kwa wakati mwingine.
Kwa msaada zaidi waweza kupiga namba +254767800000
Yap inaboa kwa kiasi fln. Si unajua wanaoingia mule weng ni programmers ambao sio watu wa maneno mengi. Unakuta wengi wamezoea black and green ides(text editors) na commandline tu. Sasa ukiwapa marangirangi unawaboaDaaah, kweli tunapishana!!! Mi nimeona inaniboa saana. Sijapenda kabisa hayo mabadiliko, unless yawe ya leo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuona juhudi zetu.Haaaaahaaaaa.
Ila kweli bn stackoverflow is my best library, hongereni kwa moyo wa kujali shelfs zenu. Ila kumbuka shelf chafu ambayo vitabu vyake hata ukivitoa inabidi upanguse vumbi ndo huwa shelf yenye maujuzi unique sana
[emoji38]Jana nilijua nimeingia site nyingine ila ivi sasa wamesharekebisha nadhani aretasludovick amelifanyia kazi
😀 kwanza polen kwa shughuli pevu ila muwe mnatutaarifu, Ilinichukua dakika kadhaa kuamini kuwa nipo kwenye stackoverflow maana yale marangirangi yalinikumbuhsa kipindi najifunza html na css 😀 . Anyway, zaidi nimekugundua kumbe fool day imepita hadi kwa programmersNdugu Dp800, leo tuliamua kuondoa shelfs zote kwaajili ya kupiga rangi.
Tunashukuru zoezi limeenda vizuri na kukamilika kwa wakati.
Asante na karibu tena kwa wakati mwingine.
Kwa msaada zaidi waweza kupiga namba +254767800000