Nini kimetokea kwenye uchaguzi wa marudio?

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
Na. Julius S. Mtatiro (23 Jan 2017).

Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa za CCM na zilikuwa zinatetewa na CCM.

Matokeo yanaonesha CCM imetetea viti vyake vyote vya udiwani (takribani 20), CUF imenyang'anywa kiti chake kimoja (Kimwani) na CHADEMA imelinda kiti chake kimoja (Duru).

Kwa vyovyote vile vyama mbadala haviwezi kujivunia matokeo haya kwani havikuweza kuishinda CCM, na CCM haina cha kutambia kwani imeongeza kata moja tu. Kwa saa nina mambo kadha ya kuzungumza;

1. Hali halisi inaonesha kuwa kama vyama mbadala vingeshirikiana vingelishinda kata si zaidi ya 7 hivi. Bahati mbaya mashirikiano haya yalikosekana tangu mwanzo baada ya upande wa "CUF ya Msajili na Bwana Yule" kusisitiza kuwa wataweka wagombea nchi nzima na hakuna UKAWA.

2. Lakini pia, hata shajihisho la ushirikiano mkubwa zaidi lililokuja kuzuliwa na kaka yangu Prof. Kitila Mkumbo lilifanywa TOO LATE kwa lengo la kutafuta sababu ya kujificha baada ya matokeo. Niliwahi kusema, kiuzoefu vyama haviwezi kuachiana maeneo wiki moja kabla ya siku ya uchaguzi na kushauri hivyo si kwa nia njema.

3. Baada ya CUF ya Msajili na Bwana Yule kujipanga kuvuruga uchaguzi huu na kushusha spirit ya UKAWA, vyama vya NCCR na CHADEMA pia vilionelea kila kimoja kijipiganie jambo ambalo ni kosa kubwa. Na madhara ya migawanyiko yote yalijulikana.

4. Uzoefu unaonesha kuwa, kuishinda CCM kwenye chaguzi ndogo ni nadra mno. Kuliwahi kuwa na mfululizo wa chaguzi ndogo, Tarime, Busanda, Tunduru, Mbeya Vijijini n.k. na kote huko CCM ilishinda isipokuwa Tarime na baadaye Arumeru. Katika chaguzi ndogo CCM hutawanya rasilimali zake nyingi zikajaa kwenye majimbo au kata hadi POMONI.

5. Mkakati wa DOLA na CCM kuvitumia baadhi ya vyama au baadhi ya viongozi kwenye vyama (mamluki) unaelekea kufanikiwa sana. Lakini, sera za "Self Protectionism" ndani ya vyama mbadala hata kwenye mambo yanayohitaji ushirikiano wa kitaifa zitaendelea kuvigharimu vyama vyetu.

6. Good News kwa ACT Wazalendo kwamba huenda ndicho chama kilichofanikiwa kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vyote (CCM inclusive) kwani pamoja na uchanga wake kimevishinda baadhi ya vyama vikongwe kwenye kata chache (kwa idadi ya kura na si ushindi wa jumla). Na hiyo ni alert call kwamba ACT is needed in the UKAWA basket na kwa hiyo ianze ku BEHAVE like a true party wakati UKAWA pia ikiiandalia mazingira kisaikolojia.

7. Bado CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi wa NEC na NEC yenyewe, uwezo wa uelewa wa wapiga kura (Mfano. CCM imepeleka uandikishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi kata ya Nkome, wakati wa uchaguzi = Rushwa).

8. Vyama vya upinzani vinashindwa chaguzi hizi kwa sababu ya kukosa ushirikiano wa kweli baina ya vyama hivyo, maelezo namba 7 hapo juu na sentensi ya kwanza ya maelezo yaliyo namba 5 hapo juu.

9. Kwa hakika, matokeo haya hayana athari zozote za kufaulu kwa Magufuli katika sera zake au kushindwa kwa Magufuli katika sera zake. Yaani, CCM ya Magufuli haijawa na ushawishi wa ziada kwa wapiga kura ili kupata ushindi huu kwenye ngome zake. CCM bado inashinda chaguzi kibabe na kwa mkakati dola zaidi bila kujali nani yuko madarakani.

10. Sijaona connection yoyote kati ya matokeo haya na siasa za 2020. Vyama vyote vinayo fursa ya kuendelea kujipanga na kama tutafanikiwa kuuvunja mfumo dola unaoathiri vyombo vya uchaguzi na uhuru wake, unaoondoa mazingira sawa kwa vyama kufanya siasa n.k, mabadiliko ya kikatiba kwenye NEC na sheria za uchaguzi na mengine mengi, siasa za 2020 zitakuwa mbichi sana.

Nimechokoza mada, tujadiliane.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]; Haya ni maoni yangu binafsi, si ya CUF wala UKAWA.

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG]@Jan2017.
 
Bwana yule kama ana akili timamu ajue kwamba, CUF hawamtaki, kuanzia viongozi mpaka wanachama na wapiga kura kwa ujumla wao. NAANGALIA ZIRO lol
 
wapinzani kuiondoa CCM kwenye madaraka kwa ballot box itakuwa ni vigumu sana.

time for plan B, and quick!!
 
Kwa udhaifu huu wa upinzani kwann sisiemu isishinde mavyama mengi mtazani hamjui kuwa mnanyang'anyana wanachama nyie kwa nyie hizo porojo hazitofawaidia kitu kama msipobadilika
 
Naona mnatamba kwamba hakuna akiyepoteza wala kugain!

Eti CCm wametetea viti vyao na CDM wametetea kitu chao, hivyo ngoma droo!
Niwakumbushe kitu kimoja CCM huwa inatabia pia ya kutetea kiti cha urais, hivyo CCM inavyotetea kitu cha Urais sitegemei kuskia mkilalamika!!
 
Watanzania wana akili
Kwahoja zipi mlifanya kupelekea mchaguliwe!!
Ufisadi!!
Rushwa!!

Mtamtafuta mchawi kamwe !!

Mwenye akili lazima ajiulize
Anahitaji kufika mapema
Akatae baiskel ya chuma
Akapande ya Mbao!!

Makanjanja yaleyale yaliyo kataliwa Ccm
Leo yamekuwa Nuru cdm
Wacheni kuleta masihala kwa Taifa.
 
Na. Julius S. Mtatiro (23 Jan 2017).

Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa za CCM na zilikuwa zinatetewa na CCM.

Matokeo yanaonesha CCM imetetea viti vyake vyote vya udiwani (takribani 20), CUF imenyang'anywa kiti chake kimoja (Kimwani) na CHADEMA imelinda kiti chake kimoja (Duru).

Kwa vyovyote vile vyama mbadala haviwezi kujivunia matokeo haya kwani havikuweza kuishinda CCM, na CCM haina cha kutambia kwani imeongeza kata moja tu. Kwa saa nina mambo kadha ya kuzungumza;

1. Hali halisi inaonesha kuwa kama vyama mbadala vingeshirikiana vingelishinda kata si zaidi ya 7 hivi. Bahati mbaya mashirikiano haya yalikosekana tangu mwanzo baada ya upande wa "CUF ya Msajili na Bwana Yule" kusisitiza kuwa wataweka wagombea nchi nzima na hakuna UKAWA.

2. Lakini pia, hata shajihisho la ushirikiano mkubwa zaidi lililokuja kuzuliwa na kaka yangu Prof. Kitila Mkumbo lilifanywa TOO LATE kwa lengo la kutafuta sababu ya kujificha baada ya matokeo. Niliwahi kusema, kiuzoefu vyama haviwezi kuachiana maeneo wiki moja kabla ya siku ya uchaguzi na kushauri hivyo si kwa nia njema.

3. Baada ya CUF ya Msajili na Bwana Yule kujipanga kuvuruga uchaguzi huu na kushusha spirit ya UKAWA, vyama vya NCCR na CHADEMA pia vilionelea kila kimoja kijipiganie jambo ambalo ni kosa kubwa. Na madhara ya migawanyiko yote yalijulikana.

4. Uzoefu unaonesha kuwa, kuishinda CCM kwenye chaguzi ndogo ni nadra mno. Kuliwahi kuwa na mfululizo wa chaguzi ndogo, Tarime, Busanda, Tunduru, Mbeya Vijijini n.k. na kote huko CCM ilishinda isipokuwa Tarime na baadaye Arumeru. Katika chaguzi ndogo CCM hutawanya rasilimali zake nyingi zikajaa kwenye majimbo au kata hadi POMONI.

5. Mkakati wa DOLA na CCM kuvitumia baadhi ya vyama au baadhi ya viongozi kwenye vyama (mamluki) unaelekea kufanikiwa sana. Lakini, sera za "Self Protectionism" ndani ya vyama mbadala hata kwenye mambo yanayohitaji ushirikiano wa kitaifa zitaendelea kuvigharimu vyama vyetu.

6. Good News kwa ACT Wazalendo kwamba huenda ndicho chama kilichofanikiwa kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vyote (CCM inclusive) kwani pamoja na uchanga wake kimevishinda baadhi ya vyama vikongwe kwenye kata chache (kwa idadi ya kura na si ushindi wa jumla). Na hiyo ni alert call kwamba ACT is needed in the UKAWA basket na kwa hiyo ianze ku BEHAVE like a true party wakati UKAWA pia ikiiandalia mazingira kisaikolojia.

7. Bado CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi wa NEC na NEC yenyewe, uwezo wa uelewa wa wapiga kura (Mfano. CCM imepeleka uandikishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi kata ya Nkome, wakati wa uchaguzi = Rushwa).

8. Vyama vya upinzani vinashindwa chaguzi hizi kwa sababu ya kukosa ushirikiano wa kweli baina ya vyama hivyo, maelezo namba 7 hapo juu na sentensi ya kwanza ya maelezo yaliyo namba 5 hapo juu.

9. Kwa hakika, matokeo haya hayana athari zozote za kufaulu kwa Magufuli katika sera zake au kushindwa kwa Magufuli katika sera zake. Yaani, CCM ya Magufuli haijawa na ushawishi wa ziada kwa wapiga kura ili kupata ushindi huu kwenye ngome zake. CCM bado inashinda chaguzi kibabe na kwa mkakati dola zaidi bila kujali nani yuko madarakani.

10. Sijaona connection yoyote kati ya matokeo haya na siasa za 2020. Vyama vyote vinayo fursa ya kuendelea kujipanga na kama tutafanikiwa kuuvunja mfumo dola unaoathiri vyombo vya uchaguzi na uhuru wake, unaoondoa mazingira sawa kwa vyama kufanya siasa n.k, mabadiliko ya kikatiba kwenye NEC na sheria za uchaguzi na mengine mengi, siasa za 2020 zitakuwa mbichi sana.

Nimechokoza mada, tujadiliane.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]; Haya ni maoni yangu binafsi, si ya CUF wala UKAWA.

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG]@Jan2017.
Ila mkuu kwanni tusidai tume huru iwe ajenda ya kwanza ikiwezekana tususe chaguzi zote ndogo ili waone tuko serious

Pia mikutano ya hadhara muhim sana ili tuwape elimu ya mageuzi wananchi sasa bila mikutano viongozi wa ukawa mlitegemea tutashindaje yaani wiki tatu za kampeni ndio zitupe ushindi wkati wenzetu wa ccm kika siku wanafanya mikutano kwa kisingizo cha mwamvuli wa serikali???
Tukiendelea hivi 2020 uchaguzi tutaanguka bila htavya kuibiwa kura tudai tume huru at the same time tudai haki yakufanya mikutano kwa gharama yoyote ile pliz mhere mwita ifikishe hii kwa viongozi wenzako
 
Naona mnatamba kwamba hakuna akiyepoteza wala kugain!

Eti CCm wametetea viti vyao na CDM wametetea kitu chao, hivyo ngoma droo!
Niwakumbushe kitu kimoja CCM huwa inatabia pia ya kutetea kiti cha urais, hivyo CCM inavyotetea kitu cha Urais sitegemei kuskia mkilalamika!!
Utoto unakususmbua.
 
Hamuoni aibu mmezuia siasa na ni zaidi ya mwaka sasa wananchi hawajona hta mbowe kasimama jukwaani ila mnashindwa kuzoa kata zote then mnaanza kushangilia hapa? Ur insane
 
Na. Julius S. Mtatiro (23 Jan 2017).

Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa za CCM na zilikuwa zinatetewa na CCM.

Matokeo yanaonesha CCM imetetea viti vyake vyote vya udiwani (takribani 20), CUF imenyang'anywa kiti chake kimoja (Kimwani) na CHADEMA imelinda kiti chake kimoja (Duru).

Kwa vyovyote vile vyama mbadala haviwezi kujivunia matokeo haya kwani havikuweza kuishinda CCM, na CCM haina cha kutambia kwani imeongeza kata moja tu. Kwa saa nina mambo kadha ya kuzungumza;

1. Hali halisi inaonesha kuwa kama vyama mbadala vingeshirikiana vingelishinda kata si zaidi ya 7 hivi. Bahati mbaya mashirikiano haya yalikosekana tangu mwanzo baada ya upande wa "CUF ya Msajili na Bwana Yule" kusisitiza kuwa wataweka wagombea nchi nzima na hakuna UKAWA.

2. Lakini pia, hata shajihisho la ushirikiano mkubwa zaidi lililokuja kuzuliwa na kaka yangu Prof. Kitila Mkumbo lilifanywa TOO LATE kwa lengo la kutafuta sababu ya kujificha baada ya matokeo. Niliwahi kusema, kiuzoefu vyama haviwezi kuachiana maeneo wiki moja kabla ya siku ya uchaguzi na kushauri hivyo si kwa nia njema.

3. Baada ya CUF ya Msajili na Bwana Yule kujipanga kuvuruga uchaguzi huu na kushusha spirit ya UKAWA, vyama vya NCCR na CHADEMA pia vilionelea kila kimoja kijipiganie jambo ambalo ni kosa kubwa. Na madhara ya migawanyiko yote yalijulikana.

4. Uzoefu unaonesha kuwa, kuishinda CCM kwenye chaguzi ndogo ni nadra mno. Kuliwahi kuwa na mfululizo wa chaguzi ndogo, Tarime, Busanda, Tunduru, Mbeya Vijijini n.k. na kote huko CCM ilishinda isipokuwa Tarime na baadaye Arumeru. Katika chaguzi ndogo CCM hutawanya rasilimali zake nyingi zikajaa kwenye majimbo au kata hadi POMONI.

5. Mkakati wa DOLA na CCM kuvitumia baadhi ya vyama au baadhi ya viongozi kwenye vyama (mamluki) unaelekea kufanikiwa sana. Lakini, sera za "Self Protectionism" ndani ya vyama mbadala hata kwenye mambo yanayohitaji ushirikiano wa kitaifa zitaendelea kuvigharimu vyama vyetu.

6. Good News kwa ACT Wazalendo kwamba huenda ndicho chama kilichofanikiwa kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vyote (CCM inclusive) kwani pamoja na uchanga wake kimevishinda baadhi ya vyama vikongwe kwenye kata chache (kwa idadi ya kura na si ushindi wa jumla). Na hiyo ni alert call kwamba ACT is needed in the UKAWA basket na kwa hiyo ianze ku BEHAVE like a true party wakati UKAWA pia ikiiandalia mazingira kisaikolojia.

7. Bado CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi wa NEC na NEC yenyewe, uwezo wa uelewa wa wapiga kura (Mfano. CCM imepeleka uandikishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi kata ya Nkome, wakati wa uchaguzi = Rushwa).

8. Vyama vya upinzani vinashindwa chaguzi hizi kwa sababu ya kukosa ushirikiano wa kweli baina ya vyama hivyo, maelezo namba 7 hapo juu na sentensi ya kwanza ya maelezo yaliyo namba 5 hapo juu.

9. Kwa hakika, matokeo haya hayana athari zozote za kufaulu kwa Magufuli katika sera zake au kushindwa kwa Magufuli katika sera zake. Yaani, CCM ya Magufuli haijawa na ushawishi wa ziada kwa wapiga kura ili kupata ushindi huu kwenye ngome zake. CCM bado inashinda chaguzi kibabe na kwa mkakati dola zaidi bila kujali nani yuko madarakani.

10. Sijaona connection yoyote kati ya matokeo haya na siasa za 2020. Vyama vyote vinayo fursa ya kuendelea kujipanga na kama tutafanikiwa kuuvunja mfumo dola unaoathiri vyombo vya uchaguzi na uhuru wake, unaoondoa mazingira sawa kwa vyama kufanya siasa n.k, mabadiliko ya kikatiba kwenye NEC na sheria za uchaguzi na mengine mengi, siasa za 2020 zitakuwa mbichi sana.

Nimechokoza mada, tujadiliane.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]; Haya ni maoni yangu binafsi, si ya CUF wala UKAWA.

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG]@Jan2017.
Teh! Teh! Teh!, Mtatiro hayo ni maneno ya mkosaji
Ushindi ni ushindi
 
Hivi hamuwezi tu kukubali kwamba ninyi bado hamjui siasa?
Wapi agenda ya tetemeko?
Wapi agenda ya njaa?
Wapi agenda ya udikteta?
Wapi agenda ya kupotea kwa saa nane,?
Wapi agenda ya ndege?
Wapi agenda ya kuvunja lain ya voda?

Hivi mlitegemea kweli kushinda kwa kuokoteza vihoja kama hivi,
 
Sasa Kata ya Tanga iliyokuwa ya Chadema na imechukuliwa na CCM na wewe unasema CHADEMA walikuwa wanatetea Kata moja
 
Hivi hamuwezi tu kukubali kwamba ninyi bado hamjui siasa?
Wapi agenda ya tetemeko?
Wapi agenda ya njaa?
Wapi agenda ya udikteta?
Wapi agenda ya kupotea kwa saa nane,?
Wapi agenda ya ndege?
Wapi agenda ya kuvunja lain ya voda?

Hivi mlitegemea kweli kushinda kwa kuokoteza vihoja kama hivi,
Teh! Teh! Teh!, walikomaa sana kuifitinisha serikari na wananchi kupitia issue za tetemeko
Wakati wapiga kura wanataka sera mbadala na si majungu
Anyway tusiwaamshe walio lala
 
Sasa Kama wanatumia polisi kuwatishia na kuwakamata viongozi wa upinzani unategemea unashindana na mtu huku umemfunga miguu unategemea mini.
 
Hamuoni aibu mmezuia siasa na ni zaidi ya mwaka sasa wananchi hawajona hta mbowe kasimama jukwaani ila mnashindwa kuzoa kata zote then mnaanza kushangilia hapa? Ur insane
Vimezuia vyama vyote including CCM, kwani umemuona kinana akizunguka kufanya mikutanao!!
 
Na. Julius S. Mtatiro (23 Jan 2017).

Goodmorning. Katika uchaguzi huu mdogo CUF ilikuwa inatetea kata 1 ya Kimwani Muleba na CHADEMA ilikuwa inatetea kata 1 ya Duru, Babati. Kata zingine zote zilikuwa za CCM na zilikuwa zinatetewa na CCM.

Matokeo yanaonesha CCM imetetea viti vyake vyote vya udiwani (takribani 20), CUF imenyang'anywa kiti chake kimoja (Kimwani) na CHADEMA imelinda kiti chake kimoja (Duru).

Kwa vyovyote vile vyama mbadala haviwezi kujivunia matokeo haya kwani havikuweza kuishinda CCM, na CCM haina cha kutambia kwani imeongeza kata moja tu. Kwa saa nina mambo kadha ya kuzungumza;

1. Hali halisi inaonesha kuwa kama vyama mbadala vingeshirikiana vingelishinda kata si zaidi ya 7 hivi. Bahati mbaya mashirikiano haya yalikosekana tangu mwanzo baada ya upande wa "CUF ya Msajili na Bwana Yule" kusisitiza kuwa wataweka wagombea nchi nzima na hakuna UKAWA.

2. Lakini pia, hata shajihisho la ushirikiano mkubwa zaidi lililokuja kuzuliwa na kaka yangu Prof. Kitila Mkumbo lilifanywa TOO LATE kwa lengo la kutafuta sababu ya kujificha baada ya matokeo. Niliwahi kusema, kiuzoefu vyama haviwezi kuachiana maeneo wiki moja kabla ya siku ya uchaguzi na kushauri hivyo si kwa nia njema.

3. Baada ya CUF ya Msajili na Bwana Yule kujipanga kuvuruga uchaguzi huu na kushusha spirit ya UKAWA, vyama vya NCCR na CHADEMA pia vilionelea kila kimoja kijipiganie jambo ambalo ni kosa kubwa. Na madhara ya migawanyiko yote yalijulikana.

4. Uzoefu unaonesha kuwa, kuishinda CCM kwenye chaguzi ndogo ni nadra mno. Kuliwahi kuwa na mfululizo wa chaguzi ndogo, Tarime, Busanda, Tunduru, Mbeya Vijijini n.k. na kote huko CCM ilishinda isipokuwa Tarime na baadaye Arumeru. Katika chaguzi ndogo CCM hutawanya rasilimali zake nyingi zikajaa kwenye majimbo au kata hadi POMONI.

5. Mkakati wa DOLA na CCM kuvitumia baadhi ya vyama au baadhi ya viongozi kwenye vyama (mamluki) unaelekea kufanikiwa sana. Lakini, sera za "Self Protectionism" ndani ya vyama mbadala hata kwenye mambo yanayohitaji ushirikiano wa kitaifa zitaendelea kuvigharimu vyama vyetu.

6. Good News kwa ACT Wazalendo kwamba huenda ndicho chama kilichofanikiwa kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vyote (CCM inclusive) kwani pamoja na uchanga wake kimevishinda baadhi ya vyama vikongwe kwenye kata chache (kwa idadi ya kura na si ushindi wa jumla). Na hiyo ni alert call kwamba ACT is needed in the UKAWA basket na kwa hiyo ianze ku BEHAVE like a true party wakati UKAWA pia ikiiandalia mazingira kisaikolojia.

7. Bado CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi wa NEC na NEC yenyewe, uwezo wa uelewa wa wapiga kura (Mfano. CCM imepeleka uandikishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi kata ya Nkome, wakati wa uchaguzi = Rushwa).

8. Vyama vya upinzani vinashindwa chaguzi hizi kwa sababu ya kukosa ushirikiano wa kweli baina ya vyama hivyo, maelezo namba 7 hapo juu na sentensi ya kwanza ya maelezo yaliyo namba 5 hapo juu.

9. Kwa hakika, matokeo haya hayana athari zozote za kufaulu kwa Magufuli katika sera zake au kushindwa kwa Magufuli katika sera zake. Yaani, CCM ya Magufuli haijawa na ushawishi wa ziada kwa wapiga kura ili kupata ushindi huu kwenye ngome zake. CCM bado inashinda chaguzi kibabe na kwa mkakati dola zaidi bila kujali nani yuko madarakani.

10. Sijaona connection yoyote kati ya matokeo haya na siasa za 2020. Vyama vyote vinayo fursa ya kuendelea kujipanga na kama tutafanikiwa kuuvunja mfumo dola unaoathiri vyombo vya uchaguzi na uhuru wake, unaoondoa mazingira sawa kwa vyama kufanya siasa n.k, mabadiliko ya kikatiba kwenye NEC na sheria za uchaguzi na mengine mengi, siasa za 2020 zitakuwa mbichi sana.

Nimechokoza mada, tujadiliane.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]; Haya ni maoni yangu binafsi, si ya CUF wala UKAWA.

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG]@Jan2017.
Vimezuia vyama vyote including CCM, kwani umemuona kinana akizunguka kufanya mikutanao!!
Rais ni chama gani? Hafanyi siasa? Wakuu wa wilaya, Mikoa wa chama gani? Hawafanyi siasa?
Poa tu, kinacho wagharimu baadhi ya watanzania ni shemu ya watanzania wenye elimu ndogo, na elimu ndogo ni sumu!
 
Kwa upande mwingine ili wapinzani washinde wanahitaji:
1. Kujua Umuhimu wa muungano, ushirikiano wa vyama visivyo madarakani
2. Kufanya tafiti wa sera za muda mfupi na muda mrefu za Kitaifa
3. Kuaanda rasimu ya pamoja itakayo kuwa na sera mpya zilizopatikana kwa kufanyiwa tafiti za kisayansi
4. Kwa pamoja wapinzani wafuatilie marekebisho katika sharia zinazo husiana na shughuli za uchaguzi. Kuanzia Kazi na uratibu wa shughuli za tume ya uchaguzi NEC, vyombo vya dola katika nafasi za eti kuimarisha ulinzi na usalama, nk. Inaonekana kuna kasoro nyingi katika sheria za uchaguzi, zifuatiliwe na zirekebishwe. Wapinzani hawana haja ya kulalamika kila wakati halafu wanaingia katika uchaguzi na mapungufu yale yale. You must take actions on this otherwise shutdown!
5. Kuachana na ukosoaji wa hoja na matukio ya muda mfupi na yasiyo ya Kitaifa. Ikumbukwe kwamba baadhi ya matukio yanaweza kuandaiwa na watala kwa malengo yao maalum na kujikuta wasio tawala wanacheza ngoma isiyo na tija na amabayo haigusi watanzania wote hasa wale wa kada za chini(masikini vijijini)

Hoja muhimu 1-4.
Remember: If you fail to plan you are planning to fail!
Take care
 
Rais ni chama gani? Hafanyi siasa? Wakuu wa wilaya, Mikoa wa chama gani? Hawafanyi siasa?
Poa tu, kinacho wagharimu baadhi ya watanzania ni shemu ya watanzania wenye elimu ndogo, na elimu ndogo ni sumu![/
Uzuri ni kwamba ndo katiba iko hvo rais lazima atokane na chama cha siasa! Na chama kilichoshinda ndicho kinaunda serikali, yaani hata wangeshinda CDM ingekuwa hvo makada ndo wangeongoza serikali kwa sababu wangetumia katiba hii!
Sasa unatofautisha vp shughuli za serikali na kisiasa utajua ww!
Bahati mbaya warioba alipotuletea katiba ambayo angalau ingeonda mambo hayo, rais wenu wa mioyo akiamini yeye ndo rais ajaye akishrikiana na CCM wenzske akatumia pesa zake kuivuruga katiba ile, sasa yupo kwenu muulizeni kwanini alifanya vile acheni kelele!
 
Watu weusi wanapenda sana kujadili matokeo baada ya kudeal na maandalizi hv leo mnakuja na sababu za kitoto kama hizi kweli???

7. Bado CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi wa NEC na NEC yenyewe, uwezo wa uelewa wa wapiga kura (Mfano. CCM imepeleka uandikishaji wa Bima ya Afya kwa wananchi kata ya Nkome, wakati wa uchaguzi = Rushwa).

Ni aibu sana kwa vyama vya upinzani kuzungumzia mambo haya eti yamesababisha kushindwa kwao vyama vyenye umri wa miaka 25 umri wa mtu aliyemaliza chuo na anafanya kazi bado sababu ni zile zile toka mwaka 1995 nyinyi mnasema kwa hali ilivyo ccm itashindwa lakni uchanguzi ukifanyika mnashindwa nyinyi then mnakuja na sababu za kitoto kama hzi kwani nyiny amjui maana ya joint strike mission? kuna haja gani ya kujiita ukawa wakati kwenye uchaguzi kila mtu anapekeka mgombea? watu wenye akili wanadeal na solution si kuleta emotion na lawama niltegemea mmepokea admnistartion mpya kutoka lumumba watakuja na mipango na siri za lumumba lakini hakuna chochote kipya walichokuja nacho
 
Back
Top Bottom