daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 425
Hili ni funzo kwa kaka yetu na baba yetu Prof Lipumba aache kutumika kuua UKAWA,Magadalena Sakaya njooni tukae chini kama kweli nyinyi ni wapinzani tafadhari njooni acheni kuinufaisha CCM.
Ila mkuu kwanni tusidai tume huru iwe ajenda ya kwanza ikiwezekana tususe chaguzi zote ndogo ili waone tuko serious
Pia mikutano ya hadhara muhim sana ili tuwape elimu ya mageuzi wananchi sasa bila mikutano viongozi wa ukawa mlitegemea tutashindaje yaani wiki tatu za kampeni ndio zitupe ushindi wkati wenzetu wa ccm kika siku wanafanya mikutano kwa kisingizo cha mwamvuli wa serikali???
Tukiendelea hivi 2020 uchaguzi tutaanguka bila htavya kuibiwa kura tudai tume huru at the same time tudai haki yakufanya mikutano kwa gharama yoyote ile pliz mhere mwita ifikishe hii kwa viongozi wenzako
R u insane??? Mkutano wa magufuli kinyerezi au umeona mkutano wa jaffo handeni..... zaidi ya nusu saa kawaachia wenyeviti wa ccm wilaya za tanga kuongea na wenyewe badala ya kuongelea serikali wanakimbilia kufanya kampeni hapo kumbuka wamevaa majezi yao ya kijani mkuu inakera sana afu ukihoji utaskia ooh NI SERIKALI......Vimezuia vyama vyote including CCM, kwani umemuona kinana akizunguka kufanya mikutanao!!
Mkuu tindo hongera sana kwa kuliona hili.... ur intelligent sanaMkuu mawazo yako yameshabihiana na yangu. Nilitoa angalizo toka mwanzo, ili kutoa shinikizo la tume huru ni lazima wapinzane waanze kususia hizi chaguzi ndogo hapo wananchi na dunia wataona umuhimu wa hayo malalamiko ya tume huru. Kinyume na hapo kushiriki ni kupoteza raslimali fedha na muda. Haya matokeo niliyajua toka mwanzo na malalamiko yaliyoko sasa toka kwa wapinzani niliyajua hata kabla ya uchaguzi. Hata hiyo 2020 kwa tume hii ccm itashinda kwa asilimia 100 kuanzia madiwani, wabunge na urais. Kwa tume hii hakuna ushindani bali ni kuiridhisha dunia kwamba kuna demokrasia wakati sio kweli.
Refa wewe, wachezaji ni wewe, m/waponani wamefungwa miguu na mikono na midomo.. "Time for plan B, and quick!!"wapinzani kuiondoa CCM kwenye madaraka kwa ballot box itakuwa ni vigumu sana.
time for plan B, and quick!!
Tumia akili kidogo kuwa si lazima kinana azunguke.Vimezuia vyama vyote including CCM, kwani umemuona kinana akizunguka kufanya mikutanao!!